Serikali yaanzisha kurugenzi ya wakunga
Na Shomari Binda, Musoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
Kauli hiyo ameitoa jana wakati akizungumza na wauguzi na wakunga pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mara kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
“Nina taarifa kuwa kuanzia mwaka ujao wa fedha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 May
SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/114.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/44.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...
10 years ago
Habarileo06 May
Wizara yawaanzishia kurugenzi Wakunga
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-sNbgOAmWtsM/XoXt9REL-pI/AAAAAAALl3E/-RfiThg5iwAtkKGhAyViyAt9OdMxUV2DwCLcBGAsYHQ/s72-c/c8615e86-743d-4ed6-9a32-b978c4262158.jpg)
Muungano wa Utepe mweupe waiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga
MRATIBU wa Shirika lisilo la kiserikali la Utepe Mweupe (White Ribbon), nchini Rose Mlay ameiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga katika vituo vya afya, zahanati na hospitali za mikoa ili akina mama wapate huduma nzuri pindi wanapojifungua.
Akizungumza na Michuzi Tv wa kuelekea Kampeni ya "Wanawake wanataka nini ,Sikiliza Chukua Hatua" iliyoandaliwa na Shirika hilo amesema katika uzazi kuna chabgamoto nyingi wakati wa kujifingua hivyo wanaiomba serikali...
10 years ago
Habarileo26 Mar
Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.
10 years ago
Habarileo10 Jul
Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita
SERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-nNmS4malNZQ/XtJ0inB48fI/AAAAAAAC6ZI/ZY3S2zsMc3Y308wTff7UHkOepdvSj2CrgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Je,wajawazito hulala na wakunga?
10 years ago
Habarileo31 Jan
SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi
WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.