Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yawaanzishia kurugenzi Wakunga

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaanzisha kurugenzi ya wakunga

pindaNa Shomari Binda, Musoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
Kauli hiyo ameitoa jana wakati akizungumza na wauguzi na wakunga pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mara kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
“Nina taarifa kuwa kuanzia mwaka ujao wa fedha...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA

1Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanawake waliofika kwenye viwanja vya mukendo mjini Musoma kuhudhuria Maadhimisho ya ya siku ya wakunga dunia yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mukendo, Musoma Mei 6, 2015.  4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,wajawazito hulala na wakunga?

Wakunga wa kiume huwadanganya wanawake wajawazito katika makaazi ya mijini kufanya tendo la ngono kabla ya kujifungua.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi

WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.

 

10 years ago

Michuzi

AMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA

Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimkabidhi Mkurugenzi Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako, hundi yenye thamani ya shilingi milioni 48. Kwa ajili ya kuwasomesha wakunga 10 ambao baada ya kupata elimu wataajiliwa katika vituo vya afya hasa vijijini ili kuwasaidia akinamama wanaohitaji huduma za uzazi.KCB na AMREF wametangaza ushirikiano katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na motto nchini hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, wapili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakunga wahimizwa kushirikiana kutengeneza taifa la kesho

DSC_0228

Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala. (Picha zote na Zainul Mzige wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BARAZA LA WAUGUZI NA WAKUNGA

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar            Waziri wa Afya  wa Zanzibar Rashid Seif ameliagiza Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar kusimamia kwa karibu watendaji wa kada hiyo ili  waweze kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa Baraza Wauguzi na Wakunga katika Chuo cha Sayanzi ya Afya Mbweni, Waziri Rashid Seif amesema wauguzi na wakunga ni walezi wanaoshughulikia matatizo ya watu  hivyo wanatakiwa  kutekeleza wajibu wao kwa uadilifu.
Amesema ...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YALIVYOFANA MJINI MUSOMA

DSC_0056Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).DSC_0060Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani