Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BARAZA LA WAUGUZI NA WAKUNGA

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar            Waziri wa Afya  wa Zanzibar Rashid Seif ameliagiza Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar kusimamia kwa karibu watendaji wa kada hiyo ili  waweze kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa Baraza Wauguzi na Wakunga katika Chuo cha Sayanzi ya Afya Mbweni, Waziri Rashid Seif amesema wauguzi na wakunga ni walezi wanaoshughulikia matatizo ya watu  hivyo wanatakiwa  kutekeleza wajibu wao kwa uadilifu.
Amesema ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKUNGA WA JADI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATALAM WA AFYA ZANZIBAR

Mmoja wa wakunga wa jadi Bi. Namboto Sheha Kombo akielezea jinsi wanavyofanya kazi zao za ukunga katika mkutano uliofanyika Hospitali ya Kivunge Mkoa wa kaskazini "A" Unguja.Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na wakunga wa jadi, na kuwataka washirikiane na watalaam wa Afya katika kazi zao ili kupunguza vifo vya Akinamama na watoto.Msaidizi daktari dhamana Hospitali ya Muembe ladu Ruzuna A.M. Shamte akifahamisha kitu katika mkutano wa wakunga wa jadi na watalam wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA

1Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanawake waliofika kwenye viwanja vya mukendo mjini Musoma kuhudhuria Maadhimisho ya ya siku ya wakunga dunia yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mukendo, Musoma Mei 6, 2015.  4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...

 

5 years ago

Michuzi

FLORENCE NIGHTINGALE, MUASISI WA SIKU YA WAUGUZI NA WAKUNGA DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

LEO MEI 12 dunia inasherehekea siku ya Wauguzi na wakunga duniani huku umuhimu na mchango mkubwa wao katika sekta ya afya ukigusa mamilioni ya wananchi hasa wanawake.

Muasisi wa siku hii adhimu kwa wauguzi na wakunga ni Florence Nightingale; "Mwanamke wa Taa" ambaye alisimama kidete katika kuinua viwango vya uuguzi pamoja kuwaelimisha Wauguzi.

Harakati zake zilianza baada ya kufika nchini Uturuki mwaka 1854 ambapo nchi hiyo ilikuwa katika vita ya Krimea, Florence...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Kabaka azindua Baraza la Wafanyakazi SSRA


Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akifunua pazi ili kuzindua Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.Anayepiga makofi ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, akisoma hotuba yake na kisha kumkaribisha Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka,...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi Fransisca.Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk (kulia) akiwa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani wakingia katika Hoteli yao mpya ya Tausi Palace iliyopo Shangani Mjini Zanzibar. Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk  akikata utepe akiwa na mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani. Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR BALOZI AMINI SALUM ALI AZINDUA CHUMVI YA ZALT ZANZIBAR.BZMHE.


WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi waBidhaa ya Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya Swahili Coast Salt, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika mgahawa wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na. Mpiga Picha Wetu)
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahili Coast Salt.Bi. Stephanie Said, wakati wa hafla ya ...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi cheti mmoja ya washiriki wa mafunzo ya D.H.I.S  Osama Al Zubair  kutoka Sudan wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Double Tree Nungwi, Kaskazini Unguja.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa mafunzo ya D.H.I.S Mahmoud Thabit Kombo akiwahutubia washiriki wa mafunzo hayo kutoka Nchi za Afrika, Marekani, Ujerumani na Mashirika wahisani katika Hoteli ya Double Tree Nungwi. Mratibu wa mafunzo ya mfumo wa ukusanyaji taarifa za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani