Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda atangaza wilaya sita mpya, mkoa mmoja

>Rais Jakaya Kikwete anamaliza utawala wake kwa kuongeza maeneo mapya ya utawala, baada ya kuridhia kuanzishwa kwa wilaya mpya sita na mkoa mmoja wa Songwe utakaofanya nchi kuwa na mikoa 31.

 

5 years ago

Michuzi

Mkoa wa Songwe wazindua Mwongozo wa Uwekezaji

MKOA wa Songwe umezindua Mwongozo wa Uwekezaji na kuhamasisha wawekezaji kuchangamkia fursa lukuki zilizopo mkoani humo.
Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
 “Uzinduzi wa Mwongozo huu unaonyesha dhamira ya kweli na utayari wa Mkoa wa Songwe kuvutia wawekezaji katika mkoa huu. Bado ninatoa rai kwa Mikoa ambayo bado haijakamilisha Miongozo wa Uwekezaji kufanya hivyo,” alisema.
Akizungumza ...

 

5 years ago

Michuzi

MKANDARASI AZUIWA KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza wakati wa kukagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote muhimu kwa ajili ya ukamilishaji wa Mradi huo.
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo Mkuu wa Mkoa amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote...

 

5 years ago

CCM Blog

APIGWA STOP KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE

  Mkandarasi wa Mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka Nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa chini ya uangalizi wa jeshi la Polisi mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu watakaomalizia Mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa zuio hilo leo mara baada ya kutembelea Mradi wa maji wa Iyula ambao ulitarajiwa kukamilika tangu mwaka 2017 huku ukiwa na thamani ya shilingi bilioni tano.
Brig. Jen. Mwangela amesema mkandarasi huyo anatakiwa aweke...

 

9 years ago

Mwananchi

Wilaya ya Kibaha yaanzisha baraza la amani

Wananchi katika halmashauri za Kibaha Mjini na Vijijini wameunda baraza la amani litakalohamasisha jamii kuwa na desturi ya kujadili namna ya kudumisha amani na endapo vitajitokeza viashiria vya uvunjifu litakutana kuvijadili na kutoa ushauri kwa mamlaka husika.

 

5 years ago

Michuzi

NMB kuhakikisha Mkoa wa Songwe unakuwa kiuchumi kupitia wawekezaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji - Angela Kairuki amewata wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutumia fursa ya Mkoa wa Songwe kuwa lango la nchi za SADC kwa kwenda kuwekeza katika sekta mbalimbali zilizopo Mkoani humo hasa katika sekta ya Kilimo ili kuinua uchumi wa Mkoa huo na nchi kwa ujumla.
Angela alisema hayo jana wakati alipokuwa akizindua kongamano la uwekezaji Mkoa wa Songwe, lililofanyika katika kiwanja cha Vwawa Wilayani Mbozi. Aliongeza kuwa, Mkoa huo una fursa nyingi...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mwananchi

Abiria Songwe waipigia magoti Serikali

Abiria wanaotumia usafiri wa ndege katika Uwanja wa Kimataifa Songwe (Sia) mkoani hapa wameiomba Serikali itoe fedha za kuweka taa katika uwanja huo ili ndege zitue hata kukiwa na ukungu.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Jenista MhagamaSERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani