Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda atangaza wilaya sita mpya, mkoa mmoja

>Rais Jakaya Kikwete anamaliza utawala wake kwa kuongeza maeneo mapya ya utawala, baada ya kuridhia kuanzishwa kwa wilaya mpya sita na mkoa mmoja wa Songwe utakaofanya nchi kuwa na mikoa 31.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua mkuu mpya mmoja wa mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014.

Taarifa iliyotolewa leo, Jumapili, Desemba 7, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Rais amemteua Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, Ndugu Daudi Felix Ntibenda  kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Ndugu Ntibenda ataapishwa kesho, Jumatatu, Desemba 8,...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE SITA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425



PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kujenga barabara za mkoa mmoja mmoja

Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson LwengeSERIKALI imesema baada ya kukamilisha ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini, itashughulikia barabara za mkoa mmoja mmoja.

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida

Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.

Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.

Baada ya Serikali kufuta...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYA YA KINONDONI MKUU WA WILAYA ATANGAZA AJIRA YA PAPO KWA PAPO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa ameubeba mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto), akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda baada ya kumaliza mbio zake wilayani humo Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenge huo ulianza mbio zake Wilaya ya Ilala na kuzindua miradi mbalimbali. Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa mwaka 2015, Juma Khatibu Chum (kulia), akisalimia na Meya...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA MPWAPWA MHE. ANTH0NY MAVUNDE

Mhe. Athony Mavunde akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (Hayupo Pichani) Mei 29,2015 Mhe. Athony Mavunde akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa Mei 29,2015 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Athony Mavunde (kushoto) akipongezwa na baba yake mzazi Ndg. Peter Mavunde mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya Mei 29,2015 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani