Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wilaya ya Kibaha yaanzisha baraza la amani

Wananchi katika halmashauri za Kibaha Mjini na Vijijini wameunda baraza la amani litakalohamasisha jamii kuwa na desturi ya kujadili namna ya kudumisha amani na endapo vitajitokeza viashiria vya uvunjifu litakutana kuvijadili na kutoa ushauri kwa mamlaka husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO LAKUTANA MJINI KIBAHA, PWANI

Mgeni Rasmi wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (aliyesimama) akisisitiza jambo alipokua akifungua kikao cha Baraza hilo.Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akimkaribisha mgeni rasmi Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bibi Mwantumu Mahiza (aliyekaa kaikati). Kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bw. Senya Robert.Wajumbe wa baraza wakiwa katika hali ya utulivu katika...

 

5 years ago

CCM Blog

DKT. NDUNGULILE APONGEZA KUKAMILIKA KWA UJENZI HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA

Na WAMJW- Pwani.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amepongeza wataalamu wa afya mkoani Pwani kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mjini ambayo kwa sasa itatumika kulaza wagonjwa watakaobainika kuwa na maambukizi ya homa ya Corona.
Dkt. Ndungulile ameyasema hayo wakati alipotembelea hospitali hiyo na kuwataka wataalamu kujipanga vizuri ili kukabiliana na ugonjwa huo hasa ikizingatiwa Wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Ndungulile apongeza kukamilika kwa ujenzi hospitali Wilaya ya Kibaha.

Na WAMJW- Pwani.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amepongeza wataalamu wa afya mkoani Pwani kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mjini ambayo kwa sasa itatumika kulaza wagonjwa watakaobainika kuwa na maambukizi ya homa ya Corona.

Dkt. Ndungulile ameyasema hayo wakati alipotembelea hospitali hiyo na kuwataka wataalamu kujipanga vizuri ili kukabiliana na ugonjwa huo hasa ikizingatiwa Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE

Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya (kushoto)akikabidhiwa msaada wa vifaa vya macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya wilaya ya mkuranga mkoa wa Pwani, wanao shuhudia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi, Mratibu mradi Rebecca Kasika...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi  ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo  na wa pili kushoto ni  Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE‏

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati  alipofika katika  hospitali ya Wilaya ya Mkuranga  kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za  Mkuranga  ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.Kulia ni  Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA JD COMPLEX — KIBAHA, PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bibi Mwantumu Mahiza, akifanya ufunguzi wa Mkutano wa Barazala Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango katika Ukumbi wa Hoteli ya JD Complex – Kibaha, Pwani mwishoni mwa Septemba.Picha na: Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipangokwa picha zaidi na hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bibi Mwantumu Mahiza bofya soma zaidi
MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA JD COMPLEX – KIBAHA, PWANI.


  HOTUBA YA MKUU WA MKOA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani