Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB kuhakikisha Mkoa wa Songwe unakuwa kiuchumi kupitia wawekezaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji - Angela Kairuki amewata wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutumia fursa ya Mkoa wa Songwe kuwa lango la nchi za SADC kwa kwenda kuwekeza katika sekta mbalimbali zilizopo Mkoani humo hasa katika sekta ya Kilimo ili kuinua uchumi wa Mkoa huo na nchi kwa ujumla.
Angela alisema hayo jana wakati alipokuwa akizindua kongamano la uwekezaji Mkoa wa Songwe, lililofanyika katika kiwanja cha Vwawa Wilayani Mbozi. Aliongeza kuwa, Mkoa huo una fursa nyingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

VIJANA WAWEKEZAJI KWENYE KILIMO WATAPATIWA ARDHI SONGWE



 Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akifunga Kongamano la Vijana katika Kilimo lililofanyika Mkoa wa Songwe na Kuhusisha vijana takribani 700 kutoka Mikoa ya Songwe, Rukwa, Mbeya na Katavi ambapo ameahidi kuwapatia ardhi vijana wanaotaka kuwekeza katika Kilimo.Vijana takribani 700 kutoka Mikoa ya Songwe, Rukwa, Mbeya na...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YADHAMINI KONGAMANO LA WAWEKEZAJI MKOANI SONGWE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Aaziri Mkuu - Uwekezaji, Anjela Kairuki akisalimiana na Meneja Mwandamizi wa Wateja wa Serikali wa Benki ya CRDB, Nuru Kateti alipotembelea Banda la CRDB, baada ya kufungua Kongamano la wawekezaji mkoani Songwe lililoandalia na Mkuu wa Mkoa huo, Brig. Jenerali Mstaafu, Nicodemus Mwangela kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika juhudi za kukuza na kuleta chachu ya maendeleo ya uwekezaji mkoani songwe. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo Kanda Nyanda za Juu Kusini, Denis...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB MBELE KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA USAWA


Tukiadhimisha ‘Siku ya Wanawake Duniani’, Benki ya NMB imekua katika mstari wa mbele kuunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani EachForEqual, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote. Katika Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu mapema leo, NMB imekua miongoni mwa wadhamini wakuu walionogesha maadhimisho hayo kwa kutoa shilingi Milioni 26 ambapo pesa taslimu ni milioni 5 pamoja na fulana zenye thamani ya shilingi Milioni 21.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

5 years ago

Michuzi

NMB Mbele Kuhakikisha Upatikanaji wa Usawa kwa Wote

Tukiadhimisha ‘Siku ya Wanawake Duniani’, Benki ya NMB imekua katika mstari wa mbele kuunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani #EachForEqual, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote. Katika Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu mapema leo, NMB imekua miongoni mwa wadhamini wakuu walionogesha maadhimisho hayo kwa kutoa shilingi Milioni 26 ambapo pesa taslimu ni milioni 5 pamoja na fulana zenye thamani ya shilingi Milioni 21.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu mkuu mpya wa Yanga atangaza mikakati yake ya kuhakikisha Klabu inajiendesha kiuchumi

Katibu mpya wa Yanga Dk. Jonas Tiboroha, ametangaza mikakati yake ya kuhakikisha Yanga inajiendesha kiuchumi ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba yote ya wadhamini.
Akizungumza Makao Makuu ya Klabu hiyo leo, Tiboraha alisema kuwa Yanga ni klabu kubwa hiyo ni wakati wa kujiendesha yenyewe badala ya kutegemea mtu binafsi na kwamba haiwezi kuwa na mikataba ambayo haikithi maslahi ya klabu hiyo.
"Yanga ni bidhaa inayojiunza yenyewe uwezi kuingia mkataba wake sawa na Stand United, haiwezekani...

 

5 years ago

Michuzi

Mkoa wa Songwe wazindua Mwongozo wa Uwekezaji

MKOA wa Songwe umezindua Mwongozo wa Uwekezaji na kuhamasisha wawekezaji kuchangamkia fursa lukuki zilizopo mkoani humo.
Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
 “Uzinduzi wa Mwongozo huu unaonyesha dhamira ya kweli na utayari wa Mkoa wa Songwe kuvutia wawekezaji katika mkoa huu. Bado ninatoa rai kwa Mikoa ambayo bado haijakamilisha Miongozo wa Uwekezaji kufanya hivyo,” alisema.
Akizungumza ...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

 

5 years ago

Michuzi

MKANDARASI AZUIWA KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza wakati wa kukagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote muhimu kwa ajili ya ukamilishaji wa Mradi huo.
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo Mkuu wa Mkoa amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani