Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB Mbele Kuhakikisha Upatikanaji wa Usawa kwa Wote

Tukiadhimisha ‘Siku ya Wanawake Duniani’, Benki ya NMB imekua katika mstari wa mbele kuunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani #EachForEqual, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote. Katika Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu mapema leo, NMB imekua miongoni mwa wadhamini wakuu walionogesha maadhimisho hayo kwa kutoa shilingi Milioni 26 ambapo pesa taslimu ni milioni 5 pamoja na fulana zenye thamani ya shilingi Milioni 21.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB MBELE KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA USAWA


Tukiadhimisha ‘Siku ya Wanawake Duniani’, Benki ya NMB imekua katika mstari wa mbele kuunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani EachForEqual, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote. Katika Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu mapema leo, NMB imekua miongoni mwa wadhamini wakuu walionogesha maadhimisho hayo kwa kutoa shilingi Milioni 26 ambapo pesa taslimu ni milioni 5 pamoja na fulana zenye thamani ya shilingi Milioni 21.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

10 years ago

BBCSwahili

Upendeleo maalum,usawa kwa wote

Kenya iko katika njia sahihi kisheria na inatambua umuhimu wa usawa kati ya wanaume na wanawake na inahimiza upendeleo maalum.

 

9 years ago

Mtanzania

Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa

Nigerian+President+Goodluck+JonathanNa Wandishi Wetu, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa  kuepuka machafuko  yasitokee nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea  kuwapo  uwazi, haki na kufuata  misingi ya utawala bora.

Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...

 

5 years ago

Michuzi

NMB kuhakikisha Mkoa wa Songwe unakuwa kiuchumi kupitia wawekezaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji - Angela Kairuki amewata wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutumia fursa ya Mkoa wa Songwe kuwa lango la nchi za SADC kwa kwenda kuwekeza katika sekta mbalimbali zilizopo Mkoani humo hasa katika sekta ya Kilimo ili kuinua uchumi wa Mkoa huo na nchi kwa ujumla.
Angela alisema hayo jana wakati alipokuwa akizindua kongamano la uwekezaji Mkoa wa Songwe, lililofanyika katika kiwanja cha Vwawa Wilayani Mbozi. Aliongeza kuwa, Mkoa huo una fursa nyingi...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA NISHATI YA MAFUTA INAPATIKANA MUDA WOTE NCHINI



Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Said(aliyesimama),akizungumza kwenye kikao baina Waziri wa Nishati na wadau mbalimbali wa Mafuta nchini,jijini Dar es Salaam, Machi 17,2020 (Kulia )Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani,( Kushoto) Naibu Katibu Mkuu Mhandisi Leonard Masanja.Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani(wa kwanza kulia) Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani