Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Feb
Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.
11 years ago
Dewji Blog24 Apr
Mfuko wa Ukimwi mbioni kuanzishwa
Mkurugenzi wa Sera, Mpango na Utafiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Raphael Kalinga akiwaeleza jambo waandishi wa Habari( Hawapo pichani) Wakati wa Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar Es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Tume Hiyo Bi. Nadhifa Omar.
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imedhamiria kuanzisha Mfuko wa Ukimwi utakaolenga kuondoa upungufu wa Rasilimali katika...
11 years ago
Habarileo19 Dec
Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi
BARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.
10 years ago
Mtanzania06 May
Serikali yaanzisha kurugenzi ya wakunga
Na Shomari Binda, Musoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
Kauli hiyo ameitoa jana wakati akizungumza na wauguzi na wakunga pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mara kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
“Nina taarifa kuwa kuanzia mwaka ujao wa fedha...
10 years ago
Vijimambo05 May
SERIKALI YAANZISHA KURUGENZI YA WAUGUZI NA WAKUNGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/114.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/44.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakunga waliozawadiwa zawadi mbalimbali kutokana na mchango wao katika kuwahudumia wajawazito wanaojifungua katika meneo mbalimbali nchini. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Serikali yaanzisha mkoa wa Songwe, wilaya sita
SERIKALI imetangaza kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya mpya sita zikiwemo Ubungo, Kigamboni na Tanganyika. Mkoa wa Songwe ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Serikali iendeleze elimu ya Ukimwi
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Serikali imesikia ujumbe huu wa Ukimwi?
MWISHONI mwa wiki iliyopita, mkutano mkubwa wa wanasayansi na mashirika makubwa ya kimataifa yana
Ezekiel Kamwaga