Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali iendeleze elimu ya Ukimwi

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea baadhi ya wanawake mkoani Rukwa kuwa wamebadilisha matumizi ya kondomu za kike, na sasa wanazitumia kujiremba kwa kuzivaa kama bangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waislam Mkoani Lindi wapata elimu ya ukimwi

Katibu wa Baraza kuu la Waisalam Mkoa wa Lindi (BAKWATA) Alhaj Abdillah Salum akifunga mafunzo kwa viongozi wa Kiislam pamoja na waalim wa madrasa katika Manispaa ya Lindi kuhusiana na Vita dhidi ya VVU/UKIMWI Chini ya Uwezeshaji wa AMREF kwa Ufadhili wa Global Fund. viongozi wa dini ya kiislam wakipata mafunzo toka kwa mkufunzi wa mafunzo hayo,sheikh Shomari Mchongoma.Maelezo ya Semina hiyo.
Na ABDULAZIZ ,Globu ya Jamii - Lindi
Viongozi wa dini mkoani Lindi wameaswa kuhimiza maadili mema...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Jenista MhagamaSERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.

 

10 years ago

Raia Mwema

Serikali imesikia ujumbe huu wa Ukimwi?

MWISHONI mwa wiki iliyopita, mkutano mkubwa wa wanasayansi na mashirika makubwa ya kimataifa yana

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Serikali ijipange kuukabili upungufu fedha za Ukimwi

Katika toleo letu la jana (Julai 11,2015), ukurasa wa 12, kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “wafadhili wapunguza fedha za Ukimwi

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI KUDHIBITI UGONJWA WA UKIMWI KUFIKIA MAAMBUKIZI SIFURI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akifungua Mkutano wa Serikali na wadau wa Ukimwi kupitia utekelezaji wa programu za ukimwi jana jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Serikali na wadau wa Ukimwi kupitia utekelezaji wa programu za ukimwi jana jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa wadau wa Maendeleo kwenye sekta ya ukimwi Dkt. Michelle Roland akiwasilisha...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti ukimwi hadi kufikia maambukizi sifuri

Na Genofeva Matemu – Maelezo
Serikali imepanga mikakati na kusimamia juhudi zinazofanywa na kuendelezwa na wadau wa ukimwi kuhakikisha kuwa maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi yanapungua hadi kufikia sifuri ifikapo mwaka 2025.
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti mtendaji kutoka Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Fatma H. Mrisho wakati wa mkutano wa serikali na wadau wa ukimwi kupitia utekelezaji wa programu za ukimwi jana jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa mkutano huo...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani