Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nzige huenda wakasababisha ukosefu wa chakula na utapia mlo

Makundi ya nzige ambayo hayajawahi kushuhudiwa kabla yanamaliza mazao Afrika Mashariki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UTAPIA MLO WATAJWA CHANZO CHA KIFUA KIKUU KWA WATOTO

ATIZO la utapia mlo linalotokana na ukosefu wa lishe bora kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano linatajwa kuchangia kuongezeka kwa ugonjwa wa kifua kikuu ambao unapoteza maisha ya watoto wengi hapa nchini.

Hivyo,wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wao mlo kamili,mlo bora na kuzingatia kanuni bora za Afya kama njia mojawapo ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Mratibu wa kitengo cha kifua kikuu na Ukoma katika Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt...

 

10 years ago

Michuzi

UKOSEFU WA CHAKULA MASHULENI WACHANGIA UTORO


 
Na Woinde Shizza,Arusha
Ukosefu wa Chakula sheleni hususan zile zinazomilikiwa na serikali
umetajwa kuwa chanzo kikubwa kinasababisha wanafunzi kutoroka
mashuleni na kwenda kujitafutia chakula hali inayoathiri taaluma na
maendeleo ya elimu nchini.


Mwanakijiji wa kijiji cha Arkata  Kipara Ngine amesema kuwa watoto
wengi wamekua wakitoroka shuleni kwa kukosa chakula hivyo kupelekea
idadi ndogo ya mahudhurio  mashuleni.

Kipara ameihasa saerikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi pamoja
na wazazi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Makahaba wahangaika kwa ukosefu wa chakula

Makahaba nchini Uganda wamekiri kutaabika kipindi hiki cha corona kwa ukosefu wa wateja wakilalamikia kukosa hata chakula.

 

10 years ago

StarTV

Ukosefu wa chakula shuleni, TAMISEMI yawalaumu Wakuu wa shule waliozifunga.

Na Gloria Matola

Dar Es Salaam

 

Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari katika mikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora waliozifunga shule kwa madai ya kukosa chakula kuzifungua kutokana na kupelekwa pesa kwa kila halmashauri ili kukidhi mahitaji ya chakula katika shule hizo.

 

Katibu mkuu wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa Jumanne Sagini amesema Serikali imetenga shilingi billion 28.1 kwa kila Halmashauri kwa shule za sekondari za bweni kwaajili ya chakula ambapo hadi...

 

11 years ago

Habarileo

Zambarau mlo kamili Chamwino

KUNDI kubwa la watoto jana lilifika kwenye miti ya mizambarau karibu na kituo cha Polisi cha Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuchuma zambarau ambazo wamedai ni kwa ajili ya chakula na hata kuuza ili wapate fedha za kununua madaftari.

 

10 years ago

Mwananchi

Mlo unaofaa kwa wanaofunga

Kufunga ni jambo kongwe na linafanywa na wafuasi wa dini mbalimbali na makundi mengine ya watu. Sababu za kufunga ni nyingi, miongoni ni kufuata mafundisho ya dini au ushauri wa daktari. Wiki hii Waislamu wameanza kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume mgomvi aandaliwa mlo wa kondomu

Mwanamke mmoja mwenye watoto watatu katika wilaya ya kole nchini Uganda alimuandalia mumewe mlo wa mipira ya kondomu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nzige na tumbiri hawataangamiza shamba la CHADEMA

MAADUI wenye nia mbaya ya kutaka kubomoa nchi yenye amani na utulivu, wanaojigeuza kuwa wadudu ama wanyama waharibifu wa mazao yaliyolimwa na binadamu wenye akili na nguvu zao wanaweza kufananishwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa udhibiti wa chumvi kwenye mlo

Mwili wa binadamu usipopata chumvi, hauna uhai. Chumvi ni chanzo muhimu cha madini ya sodium ambayo ni muhimu sana katika mwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani