Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawindaji kutoka Qatar watekwa nyara Iraq

Watu wenye silaha wamewateka nyara wawindani 27 kutoka Qatar, miongoni mwao watu wa familia ya kifalme.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji watekwa nyara, Syria

Baadhi ya askari kutoka katika kikosi cha polisi, kilichoundwa na wapiganaji wa Islamic State, wametekwa nyara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasichana zaidi watekwa nyara Nigeria

Washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria, Boko Haram, wamewateka nyara wasichana wengine 8 Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakristu zaidi watekwa nyara Syria

Kuna hofu kuwa raia wakristo kutoka Syria wametekwa nyara na wanamgambo wa Islamic State.

 

10 years ago

GPL

WASAFIRI RAIA WA CAMEROON WATEKWA NYARA

Wasafiri kadhaa raia wa Cameroon wameripotiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana karibu na mpaka wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Duru za kuaminika zimeripoti kuwa, watu hao 15 wametekwa nyara na watu wenye silaha wa kundi linaloongozwa na mtu mmoja anayetambulika kwa jina la Abdoulaye Miskine, huko kaskazini mashariki mwa Cameroon karibu na mpaka wa pamoja na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Chanzo kimoja cha usalama nchini Cameroon...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi 200 watekwa nyara Nigeria

Polisi nchini Nigeria wanasema kuwa shule ya mabweni ya wasichana imeshambuliwa katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake zaidi watekwa nyara Nigeria

Inaripotiwa kuwa wanawake pamoja na wasichana sitini wametekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wiki iliyopita.

 

5 years ago

Michuzi

TAWA YAINGIZA BILIONI 16.8 KUTOKA KWA WAWINDAJI WA KITALII 519

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori(TAW) inatarajiwa kupokea Wawindaji wa kitalii 519 mwaka 2020 ambao wataingiza mapato kiasi cha shilingi bilioni 16.8

Naibu Kamishna wa TAWA, Iman Nkuwi alisema wawindaji wanaokuja nchini wameongezeka kutoka 434 wa mwaka 2018/19 Jana hadi kufikia 519 mwaka 2-19/20

Nkuwi amesema kipindi cha uwindaji wa kitalii hufanyika kuanzia mwezi julai hadi Desemba kila mwaka.

Amesema mapato hayo ya uwindaji kiasi cha sh 16.8 bilioni kitakacholipwa na wawindaji 519,...

 

5 years ago

Global Publishers

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

whatsapp-image-2016-09-15-at-8-34-33-am-750x375

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto.

Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani elfu nne (karibu shilingi za Kitanzania milioni tisa) kwa kila dereva ama sivyo watawapiga risasi madereva wote. Pia waasi hao wametoa siku ya mwisho (deadline) ya majeshi yanayolinda amani...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KUTOKA QATAR WAHIMIZWA KUWEKEZA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Serikali imeweka mazingira rafiki ya uwekezaji, hivyo alitoa wito kwa wafanyabiashara kutoka Qatar kutumia fursa lukuki za uwekezaji zinazopatikana hapa nchini. 
Balozi Mulamula aliyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Qatar iliyofanyika kwenye Hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani