Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC
Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto.
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani elfu nne (karibu shilingi za Kitanzania milioni tisa) kwa kila dereva ama sivyo watawapiga risasi madereva wote. Pia waasi hao wametoa siku ya mwisho (deadline) ya majeshi yanayolinda amani...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Masheikh saba wa Tanzania ‘watekwa’ DRC
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MASHEIKH saba wanaodaiwa kutoka Tanzania, wanajishughulisha na kuhubiri neno la Mungu, wanahofiwa kutekwa na kikundi cha waasi katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Taarifa zilizotolewa hivi karibuni, zinadai kuwa masheikh hao wanatokea Zanzibar na walikwenda nchini humo kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu.
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Rajab Katimba,...
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Wahudumu 14 wa misaada watekwa DRC
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Wawindaji kutoka Qatar watekwa nyara Iraq
9 years ago
MichuziMashehe wa Tanzania waliotekwa nchini Congo DRC waachiwa huru
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lZzNfXfVhV4/XsTn5u17QQI/AAAAAAALq5w/950m47biu_gZX3PL4eb-b-6ODbyOy2p9wCLcBGAsYHQ/s72-c/mboo.jpg)
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Madereva 4 wa malori kutoka Tanzania wakutwa na virusi hivyo Uganda
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya Corona: Madereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na corona.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s72-c/1.jpg)
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rIH0WR7WlvY/VEJ3RwGPZGI/AAAAAAAGrdI/URaG4XbjidI/s1600/3.jpg)