Masheikh saba wa Tanzania ‘watekwa’ DRC
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MASHEIKH saba wanaodaiwa kutoka Tanzania, wanajishughulisha na kuhubiri neno la Mungu, wanahofiwa kutekwa na kikundi cha waasi katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Taarifa zilizotolewa hivi karibuni, zinadai kuwa masheikh hao wanatokea Zanzibar na walikwenda nchini humo kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu.
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Rajab Katimba,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC
Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto.
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani elfu nne (karibu shilingi za Kitanzania milioni tisa) kwa kila dereva ama sivyo watawapiga risasi madereva wote. Pia waasi hao wametoa siku ya mwisho (deadline) ya majeshi yanayolinda amani...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Masheikh wa Tanzania waliotekwa DRC waachiwa
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Wahudumu 14 wa misaada watekwa DRC
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Masheikh sita waliotekwa DRC waachiwa
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
MASHEIKH sita wa Tanzania waliochukuliwa mateka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameachiwa huru usiku wa kuamkia jana.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula, alisema Balozi wa Tanzania nchini DRC kwa sasa yupo njiani kuelekea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Goma kwa ajili ya kuwaona mateka hao.
Alisema taarifa za kutekwa watu hao zilitolewa mwanzoni mwa Agosti mwaka...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s72-c/5.jpg)
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iGVUpPsN1NA/U7uU7Lj7vaI/AAAAAAAFxKk/WK24NqoEFS4/s1600/1.jpg)
9 years ago
Habarileo06 Oct
Tanzania yapongezwa kusaidia DRC
USHIRIKI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Misheni ya kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO), umeelezwa kutoa mchango mkubwa katika kurejesha hali ya Amani na utulivu katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya nchi hiyo.
10 years ago
MichuziBENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI