Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yapongezwa kusaidia DRC

USHIRIKI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Misheni ya kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO), umeelezwa kutoa mchango mkubwa katika kurejesha hali ya Amani na utulivu katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya nchi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GLOBAL YAPONGEZWA KWA KUSAIDIA JAMII

Zimepita wiki tatu na siku kadhaa tangu ichapishwe habari inayomuhusu mtoto Aloyce Mhagama, mlemavu wa viungo katika Gazeti la Risasi Jumamosi Toleo namba 1087, Aprili 12 mwaka huu lenye kichwa cha habari kinachosema Mtoto: LICHA YA ULEMAVU WANGU HUU, IPO SIKU TU NITAKUWA RAIS, Kampuni ya Global Publishers inayochapisha magazeti pendwa imepongezwa kwa kusaidia jamii. Mtoto Neema Joseph aliyekuwa anasumbuliwa na jicho. ...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASHUKURIWA KWA KUSAIDIA KUREJESHA AMANI KWA BAADHI YA MAENEO YA MASHARIKI MWA DRC

.Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mkuu wa MONUSCO, Bw. Martin Kobler akisisitiza jambo wakati wa mazugumzo yake na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, Balozi Tuvako Manongi. Bw. Kobler alifika katika Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu, kuishukuru Tanzania kwa mchango wake wa ulinzi wa amani katika Mashariki ya DRC. Mchango ambao amesema umeleta tofauti kubwa"Tafadhali nifikishie salamu na shukrani zangu kwa Mhe. Rais, Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania Daima yapongezwa Geita

WASOMAJI wa gazeti la Tanzania Daima mkoani hapa wameupongeza uongozi wa Free Media Ltd kwa kuliwezesha gazeti hili kufika kwa wakati tofauti na awali. Akizungumza na gazeti hili, mkazi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto

IMG_00511

Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya Madola

Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola ukiendelea pembezoni mwa Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, Marekani.Sekretarieti ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wamesifu kazi iliyofanywa na Tanzania kama Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa jumuiya hiyo ya kusimamia na kuimarisha misingi imara ya jumuiya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Hayo yamesemwa na Dkt. Josephine Ojiambo Makamu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA CHILDREN'S PROJECT YAFANYA HARAMBEE KUSAIDIA WATOTO TANZANIA COLUMBIA, MARYLAND

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akihudhuria harambee ya Tanzania Children's Project inayoshughulisha na miradi ya afya na elimu Tanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Columbia, Maryland. Kulia ni Timothy Lynch ambaye ni Rais wa NGO hiyo, Mhe. Balozi Liberata Mulamula aliongozana na Afisa wa Ubalozi Switebert Mkama(pichani kushoto)Rais wa Tanzania Children's Project Bwn. Timothy Lynch katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe....

 

10 years ago

Mtanzania

Masheikh saba wa Tanzania ‘watekwa’ DRC

2Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MASHEIKH saba wanaodaiwa kutoka Tanzania, wanajishughulisha na kuhubiri neno la Mungu, wanahofiwa kutekwa na kikundi cha waasi katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Taarifa zilizotolewa hivi karibuni, zinadai kuwa masheikh hao wanatokea Zanzibar na walikwenda nchini humo kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu.

Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jumuiya  na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Rajab Katimba,...

 

9 years ago

Mwananchi

Masheikh wa Tanzania waliotekwa DRC waachiwa

Masheikh sita wa Tanzania waliotekwa nyara tangu Agosti 13 katika Jimbo la Kivu ya Mashariki, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), wameachiwa huru na Serikali inafanya mpango wa kuwarejesha nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani