Wahudumu 14 wa misaada watekwa DRC
Wafanyi kazi 14 wa mashirika ya kutoa misaada wametekwa nyara katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Masheikh saba wa Tanzania ‘watekwa’ DRC
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MASHEIKH saba wanaodaiwa kutoka Tanzania, wanajishughulisha na kuhubiri neno la Mungu, wanahofiwa kutekwa na kikundi cha waasi katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Taarifa zilizotolewa hivi karibuni, zinadai kuwa masheikh hao wanatokea Zanzibar na walikwenda nchini humo kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu.
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Rajab Katimba,...
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC
Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto.
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani elfu nne (karibu shilingi za Kitanzania milioni tisa) kwa kila dereva ama sivyo watawapiga risasi madereva wote. Pia waasi hao wametoa siku ya mwisho (deadline) ya majeshi yanayolinda amani...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Wahudumu mochwari wagoma
Na Samwel Mwanga, Simiyu
WAHUDUMU wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa imeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wahudumu hao tisa, walisema tangu Juni mwaka jana hadi sasa hawajalipwa...
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Wahudumu wa afya wauawa Pakistan
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Ebola:Wahudumu wengine washambuliwa
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
‘Wahudumu wa afya acheni ubaguzi’
WATUMISHI wa Huduma ya Afya watakaogundulika kutoa huduma za ubaguzi kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) taarifa zao zitafikishwa wizarani, ili waweze kuchukuliwa hatua. Baadhi...
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Motisha juu wahudumu wa Ebola
10 years ago
Habarileo09 Jan
Mashekhe watekwa Uganda
HOFU imetanda miongoni mwa mashekhe jijini hapa, baada ya wenzao wanne kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa mafichoni.
11 years ago
GPLMUME, MKE WATEKWA!