Ebola:Wahudumu wengine washambuliwa
Wahudmu wengine wa Afya walishambuliwa nchini Guinea walipokuwa wanakusanya miili ya watu waliofariki kutokana na Ebola.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Motisha juu wahudumu wa Ebola
10 years ago
StarTV12 Nov
Wahudumu 400 wanaowatibu Ebola Sierra Leone.
Zaidi ya wahudumu 400 wa afya wanaowatibu wagonjwa wa Ebola katika kliniki moja nchini Sierra Leone wamegoma.
Wahudumu hao wamiwemo wauguzi na wafanyaki wengineo wanagoma kulalamikia hatua ya serikali kukosa kuwalipa dola miamoja kila wiki kwa kuhatarisha kaisha yao wakiwashughulikia wagonjwa wa Ebola.
Kliki hiyo iliyo mjini Bandajuma karibu na eneo la Bo, ndio kliniki pekee ambako wagonjwa wa Ebola wanatibiwa Kusini mwa Sierra Leone.
Kwingineko nchini Mali, muuguzi mmoja nchini Mali pamoja...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Wahudumu mochwari wagoma
Na Samwel Mwanga, Simiyu
WAHUDUMU wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa imeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wahudumu hao tisa, walisema tangu Juni mwaka jana hadi sasa hawajalipwa...
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Wahudumu 14 wa misaada watekwa DRC
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
‘Wahudumu wa afya acheni ubaguzi’
WATUMISHI wa Huduma ya Afya watakaogundulika kutoa huduma za ubaguzi kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) taarifa zao zitafikishwa wizarani, ili waweze kuchukuliwa hatua. Baadhi...
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Wahudumu wa afya wauawa Pakistan
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Wahudumu NIDA kushushiwa mkong’oto
IKIWA imesalia siku moja kukamilika kwa shughuli ya utoaji wa vitambulisho vya Uraia, wananchi wa Mtaa wa Mpakani Kata ya Kwembe Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamesema watawapa mkong’oto wahudumu...
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Dawa na wahudumu wa afya kupelekwa Yemen
10 years ago
VijimamboNSSF YAWANUFAISHA YATIMA NA WAHUDUMU WA WAGONJWA MAHOSPITALINI
Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu cha, Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam.