Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahudumu mochwari wagoma

jokofuuuuuuuuuuNa Samwel Mwanga, Simiyu
WAHUDUMU wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa imeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wahudumu hao tisa, walisema tangu Juni mwaka jana hadi sasa hawajalipwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AINGIZWA MOCHWARI AKIDHANIWA AMEKUFA

Na Imelda Mtema Kijana mmoja, Omary Ramadhani, 28,  (pichani) mkazi wa Sinza Madukani, Dar  amenusurika kifo baada ya  kupata  ajali ya kugongwa na ‘Break Down’ alipokuwa akiendesha Bajaj katika makutano ya Barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi, Mwenge,  jijini Dar es Salaam. Kijana Omary Ramadhani anayedaiwa kuingizwa mochwari akidhaniwa amekufa. Akizungumza kwa masikitiko, Omary alisema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavunja mochwari kutaka kuona maiti

Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya baadhi ya wanakijiji wa Bukono, Kata ya Muleba, mkoani Kagera ambao walivunja mlango wa chumba cha kuhifadhi maiti Kituo cha Afya Kaigara, wakitaka kuchukua maiti ya mtoto aliyefariki dunia mkoani Arusha alikokuwa akifanya kazi za ndani.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliovunja ‘mochwari’ sita wapata dhamana

Watu sita kati ya 12 wanaotuhumiwa kwa uchochezi na kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika Kituo cha Afya Kaigara wilayani hapa, jana wamepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya mahakama.

 

11 years ago

GPL

MAITI YA MBONGO YAWEKWA MOCHWARI CHINI MIEZI 8

Na Waandishi Wetu
VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini China miezi nane iliyopita. Mwili wa Habiba Yusuph Ally (24) ukiwa katika jeneza eneo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Tukio hilo linaweka historia ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti yakaa mochwari siku 34, kisa mgogoro wa wazazi

 Mgogoro mwingine mkubwa wa kifamilia wa kugombea maiti, umeibuka mjini Moshi na kusababisha mwili wa Rosemary Marandu (38), kuhifadhiwa mochwari kwa siku 34.

 

11 years ago

GPL

‘NILIPELEKWA MUHIMBILI ILI NIINGIZWE MOCHWARI’

INAWEZEKANA wapo wagonjwa wanaopelekwa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) wakiwa hai. Huenda wengine hufia humo baada ya kuzidiwa na baridi la chumba hicho sambamba na kukosa hewa. Piga picha ni wewe! Lakini kwa kijana Anina Shaban (28) mkazi wa Kijiji cha Mbugu Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, yeye alibahatika, kwani aliishia kwenye lango la kuingia mochwari akidhaniwa ameshakufa. Mkazi wa Kijiji cha Mbugu Wilaya ya...

 

11 years ago

CloudsFM

FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO

Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.

Vurugu hizo zimetokea baada ya mama mmoja mkazi wa Arusha aliyepeleka maiti ya mtumishi wake wa ndani na kuwakabidhi wazazi wake kwa masharti ya kutoifunua hali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahudumu 14 wa misaada watekwa DRC

Wafanyi kazi 14 wa mashirika ya kutoa misaada wametekwa nyara katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Wahudumu wengine washambuliwa

Wahudmu wengine wa Afya walishambuliwa nchini Guinea walipokuwa wanakusanya miili ya watu waliofariki kutokana na Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani