MAITI YA MBONGO YAWEKWA MOCHWARI CHINI MIEZI 8
![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXJnk6vsCmKMKpdps3sz*HtLEx94aWYkyduzmuOS1Mbt9l9I*PBoDTLIuoENqYffg3kaDjBhn9gmp40utxxdOyp/maiti.jpg)
Na Waandishi Wetu VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini China miezi nane iliyopita. Mwili wa Habiba Yusuph Ally (24) ukiwa katika jeneza eneo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Tukio hilo linaweka historia ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Wavunja mochwari kutaka kuona maiti
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Maiti yakaa mochwari siku 34, kisa mgogoro wa wazazi
11 years ago
CloudsFM18 Jun
FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO
Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Benki ya FBME yawekwa chini ya uangalizi
![FBME](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/FBME.jpg)
FBME
NA MWANDISHI WETU
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) jana ilitangaza kuchukua usimamizi wa Benki ya FBME Tanzania, MTANZANIA Jumamosi linaripoti.
Hatua hiyo imechukuliwa kuanzia juzi Alhamisi kutokana na kashfa zilizoikumba benki hiyo inayomilikiwa na raia wa Lebanon.
Taarifa hizo zimeeleza kuwa uamuzi huo umetokana na Benki Kuu ya Cyprus (CBC) kuchukua uendeshaji tawi la FBME Ltd nchini Cyprus, kufuatia taarifa za Mtandao wa Kupambana na Uhalifu wa Kifedha wa Marekani (FinCEN), kuihusisha na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-49A13IAlirM/Vc4BfnjgFjI/AAAAAAAHwqo/rMDqA7ofCpI/s72-c/cow.jpg)
MTOTO CHINI YA MIEZI SITA HAWATAKIWI KUPEWA MAZIWA YA NG'OMBE-TFNC
![](http://4.bp.blogspot.com/-49A13IAlirM/Vc4BfnjgFjI/AAAAAAAHwqo/rMDqA7ofCpI/s640/cow.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
IMEELEZWA kuwa Mtoto chini ya mwezi hatakiwi kunywa maziwa yeyote isipokuwa ya mama yake, kutokana na maziwa ya ng’ombe kuwa mazito na hayawezi kumsaidia mtoto katika kukua kwake.
Hayo ameyasema mtaalam wa lishe wa Taasisi ya Chakula lishe nchini (TFNC),Neema Joshua wakati wa semina ya waandishi wa habari ya kuwajengea uwezo wa masuala ya Lishe,amesema maziwa ya ng’ombe yanatumika tu pale hakuna namna ya kuweza kupata maziwa mengine.
Amesema watoto chini ya...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Wahudumu mochwari wagoma
Na Samwel Mwanga, Simiyu
WAHUDUMU wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa imeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wahudumu hao tisa, walisema tangu Juni mwaka jana hadi sasa hawajalipwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7MnQvWqCC0DrGdoA4ecUxTk8qX4RVaALL5BEVnmMUKd8oNXvZwehkk3ulAaqfm4-X3h*iQDrwVJruJgDUdxRebD/Omary.jpg)
AINGIZWA MOCHWARI AKIDHANIWA AMEKUFA
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Waliovunja ‘mochwari’ sita wapata dhamana
11 years ago
GPL‘NILIPELEKWA MUHIMBILI ILI NIINGIZWE MOCHWARI’