MTOTO CHINI YA MIEZI SITA HAWATAKIWI KUPEWA MAZIWA YA NG'OMBE-TFNC
![](http://4.bp.blogspot.com/-49A13IAlirM/Vc4BfnjgFjI/AAAAAAAHwqo/rMDqA7ofCpI/s72-c/cow.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
IMEELEZWA kuwa Mtoto chini ya mwezi hatakiwi kunywa maziwa yeyote isipokuwa ya mama yake, kutokana na maziwa ya ng’ombe kuwa mazito na hayawezi kumsaidia mtoto katika kukua kwake.
Hayo ameyasema mtaalam wa lishe wa Taasisi ya Chakula lishe nchini (TFNC),Neema Joshua wakati wa semina ya waandishi wa habari ya kuwajengea uwezo wa masuala ya Lishe,amesema maziwa ya ng’ombe yanatumika tu pale hakuna namna ya kuweza kupata maziwa mengine.
Amesema watoto chini ya...
Michuzi