Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AINGIZWA MOCHWARI AKIDHANIWA AMEKUFA

Na Imelda Mtema Kijana mmoja, Omary Ramadhani, 28,  (pichani) mkazi wa Sinza Madukani, Dar  amenusurika kifo baada ya  kupata  ajali ya kugongwa na ‘Break Down’ alipokuwa akiendesha Bajaj katika makutano ya Barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi, Mwenge,  jijini Dar es Salaam. Kijana Omary Ramadhani anayedaiwa kuingizwa mochwari akidhaniwa amekufa. Akizungumza kwa masikitiko, Omary alisema kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA AKIDHANIWA NI MCHAWI

Na Richard Konga, Arusha
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Alendoufonyi Abdi (pichani) mkazi wa Uduru Machame mkoani Kilimanjaro, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kuokolewa na waumini wa kanisa moja jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari eneo la Kijenge Banana Kata ya Olorieni, Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste la Yerusalemu Mpya, Liberty Shirima alisema walimnusuru mwanamke huyo asiuawe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Afungiwa Twitter akidhaniwa kuwa mkuu wa IS

Mwanaharakati aliyetetea mageuzi nchi za Kiarabu alifungiwa akaunti yake ya Twitter kwa muda baada ya kudhaniwa alikuwa ndiye kiongozi wa Islamic State.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwakyembe aingizwa ‘chaka’

WAZIRI wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe amedaiwa kuingizwa mkenge na kuzindua mabehewa mapya 25 ya kubebea kokoto huku 21 yakisemekana kuwa chini ya kiwango. TRL ilipokea mabehewa 25 mapya ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura Aingizwa Mjini

Staa alieanzia Bongo Movie na kuingia kwenye Bongo Fleva Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa yeye kwenda kwa mtu mwingine ambaye hata hamjui wala hana mahusiano naye na hajui alitumia njia gani kuiteka hajui.

“Hata sielewi mtu huyu kafanyeje hadi namba yangu kuitumia yeye, na mbaya zaidi ni pale ambapo kilaanapobahatisha namba ya rafiki yangu huomba atumiwe pesa nahisi lengo lake kuu ilikuwa ni kujipatia pesa kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Magufuli aingizwa mkenge

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa kigogo wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) ambaye hafanyi kazi tena kituoni hapo.

 

10 years ago

Mtanzania

Wahudumu mochwari wagoma

jokofuuuuuuuuuuNa Samwel Mwanga, Simiyu
WAHUDUMU wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa imeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana, wahudumu hao tisa, walisema tangu Juni mwaka jana hadi sasa hawajalipwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI

 Muandaji wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya nao kazi kufanikisha shindano hilo.Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya mshindi wa shindano hilo zinasema kuwa vikao vya mara kwa mara hufanyika kupanga mkakati wa kuvamia ofisi za BASATA kujua hatma ya binti yao Yolanda shayo.
ILIKUAJE:Wakati wa kutangaza matokeo ya ushindi siku ya fainali za mashindano hayo usiku wa julai...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavunja mochwari kutaka kuona maiti

Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya baadhi ya wanakijiji wa Bukono, Kata ya Muleba, mkoani Kagera ambao walivunja mlango wa chumba cha kuhifadhi maiti Kituo cha Afya Kaigara, wakitaka kuchukua maiti ya mtoto aliyefariki dunia mkoani Arusha alikokuwa akifanya kazi za ndani.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliovunja ‘mochwari’ sita wapata dhamana

Watu sita kati ya 12 wanaotuhumiwa kwa uchochezi na kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika Kituo cha Afya Kaigara wilayani hapa, jana wamepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya mahakama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani