Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI

 Muandaji wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya nao kazi kufanikisha shindano hilo.Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya mshindi wa shindano hilo zinasema kuwa vikao vya mara kwa mara hufanyika kupanga mkakati wa kuvamia ofisi za BASATA kujua hatma ya binti yao Yolanda shayo.
ILIKUAJE:Wakati wa kutangaza matokeo ya ushindi siku ya fainali za mashindano hayo usiku wa julai...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa mkoa wa Kilimanjaro, Yolanda Shayo atembelea vituo vya watoto yatima

DSC03988

Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015, Yolanda Shayo (pichani) ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la Mamba Marangu Moshi vijijini.

Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinne ambavyo ni Msoroe, Mrieni,Kikoro na Kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja kilichoandaa kwaajili ya watoto hao.

Baadhi ya vitu vilivyotolewa na mrembo huyo ni kalamu,madaftari,rula na...

 

10 years ago

Michuzi

YOLANDA SHAYO BALOZI WA MKOA WA KILIMANJARO ATEMBELEA VITUO VYA WATOTOTO YATIMA

Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015,Yolanda Shayo ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la mamba Malangu moshi vijijini. Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinee ambavyo ni Msoroe,Mrieni,Kikoro na kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja kilichoandaa kwaajili ya watoto hao. Baadhi ya vitu vilivyotolewa na mrembo huyo ni kalamu,madaftari,rula na sabuni za...

 

10 years ago

Michuzi

KUMEKUCHA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015

Shindano la Miss Kilimanjoro Ambassador 2015 limepamba moto kwa kuchukua sura mpya kwenye vyombo vya habari likiwa na mvuto wa aina yake.

Warembo wanaowania taji hilo wako kambini kwa sasa wakinolewa vilivyo ikiwa ni maandalizi ya fainali za shindano hilo litakalofanyika julai 24 katika ukumbi Kili Home mjini Moshi.

Habari za kuamianika toka kamati ya maandalizi imesema kuwa kamati imejipanga kisawasawa kuhakikisha wanakidhi kiu ya wapenzi wa tasnia ya urembo katika mikoa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kilimanjaro Ambassador yatoa msaada kwa familia za vijiji vya Rau na Ulu

 Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador, Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.

 Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.

 

Warembo wanaowania taji...

 

9 years ago

Bongo Movies

Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kwanza 1967 Katika Historia ya Tanzania

Mwaka
1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na
muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua
taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo. M’s Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa)

 

Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika
kuyapiga marufuku mashindano hayo ilipofika tu mwaka 1967, kabla ya Rais
wa awamu ya pili Alhaj Ali...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA KILIMANJARO AMBASSADOR KUFANYIKA JULAI 24 MWAKA HUU

 Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika Julai 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwakipewa maelekezezo na mwalimu  Omary Bokilo leo katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika Julai 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwa katika picha ya pamoja leo katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Katibu mtendaji wa Rick Plan...

 

9 years ago

Bongo5

Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)

miss universe1

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.

miss universe1
Miss Universe 2015 Pia Alonzo

Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.

miss colombia

Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.

miss universe-2
Miss...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani