Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMEKUCHA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015

Shindano la Miss Kilimanjoro Ambassador 2015 limepamba moto kwa kuchukua sura mpya kwenye vyombo vya habari likiwa na mvuto wa aina yake.

Warembo wanaowania taji hilo wako kambini kwa sasa wakinolewa vilivyo ikiwa ni maandalizi ya fainali za shindano hilo litakalofanyika julai 24 katika ukumbi Kili Home mjini Moshi.

Habari za kuamianika toka kamati ya maandalizi imesema kuwa kamati imejipanga kisawasawa kuhakikisha wanakidhi kiu ya wapenzi wa tasnia ya urembo katika mikoa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI

 Muandaji wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya nao kazi kufanikisha shindano hilo.Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya mshindi wa shindano hilo zinasema kuwa vikao vya mara kwa mara hufanyika kupanga mkakati wa kuvamia ofisi za BASATA kujua hatma ya binti yao Yolanda shayo.
ILIKUAJE:Wakati wa kutangaza matokeo ya ushindi siku ya fainali za mashindano hayo usiku wa julai...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kilimanjaro Ambassador yatoa msaada kwa familia za vijiji vya Rau na Ulu

 Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador, Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.

 Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.

 

Warembo wanaowania taji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro Marathon Tanzania kumekucha

Wanariadha kutoka za Kenya na Uganda wanategemewa kuwasili Moshi Kaskazini mwa Tanzania kushiriki mbio za Kili Marathon.

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA KILIMANJARO AMBASSADOR KUFANYIKA JULAI 24 MWAKA HUU

 Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika Julai 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwakipewa maelekezezo na mwalimu  Omary Bokilo leo katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika Julai 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwa katika picha ya pamoja leo katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. Katibu mtendaji wa Rick Plan...

 

9 years ago

Bongo5

Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)

miss universe1

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.

miss universe1
Miss Universe 2015 Pia Alonzo

Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.

miss colombia

Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.

miss universe-2
Miss...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.

Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.

Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.

Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO.

Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.  Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi. Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume, Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani