Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Kilimanjaro Ambassador yatoa msaada kwa familia za vijiji vya Rau na Ulu

 Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador, Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.

 Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.

 

Warembo wanaowania taji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

AGAPE ACP YATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA VIJIJI VYA KATA YA MWAMALA SHINYANGA


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi ndoo ya kunawia mikono Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko. Shirika limetoa msaada wa ndoo 62, sabuni 62 za maji na barakoa 150 kwa ajili ya kusaidia wananchi wa vijiji vya kata ya Mwamala halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona.  Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi...

 

10 years ago

Michuzi

KUMEKUCHA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015

Shindano la Miss Kilimanjoro Ambassador 2015 limepamba moto kwa kuchukua sura mpya kwenye vyombo vya habari likiwa na mvuto wa aina yake.

Warembo wanaowania taji hilo wako kambini kwa sasa wakinolewa vilivyo ikiwa ni maandalizi ya fainali za shindano hilo litakalofanyika julai 24 katika ukumbi Kili Home mjini Moshi.

Habari za kuamianika toka kamati ya maandalizi imesema kuwa kamati imejipanga kisawasawa kuhakikisha wanakidhi kiu ya wapenzi wa tasnia ya urembo katika mikoa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI

 Muandaji wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya nao kazi kufanikisha shindano hilo.Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya mshindi wa shindano hilo zinasema kuwa vikao vya mara kwa mara hufanyika kupanga mkakati wa kuvamia ofisi za BASATA kujua hatma ya binti yao Yolanda shayo.
ILIKUAJE:Wakati wa kutangaza matokeo ya ushindi siku ya fainali za mashindano hayo usiku wa julai...

 

11 years ago

Michuzi

NHC Kilimanjaro yatoa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua ya Upepo wilaya za Mwanga na Hai.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipokea msaada wa bati toka kwa meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo kama msaada kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya Hai,Noavatus Makunga . Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa...

 

5 years ago

Michuzi

URA SACCOS YATOA MSAADA VIFAA VYA KITABIBU KWA JESSHI LA POLISI


Mkuu wa kitengo cha rasilimaliwatu Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Anthony Rutashuburugukwa, akikata utepe kuashiria kupokea vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 kutoka Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS), kulia kwake ni mwakilishi wa bodi ya URA SACCOS, Stanford Busumbiro na kushoto kwake ni Kamanda wa Kikosi cha Afya, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hussein Yahaya. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yatoa Msaada wa Vifaa vya kazi kwa Mahakama Kuu ya Tanzania

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makao yake makuu mjini Arusha imekabidhi msaada wa vifaa vya ki-eletronic vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi za kimakahakama kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tazania Mhe. Othman Mohamed Chande katika sherehe fupi iliyofanyika mahakamani hapo Arusha. Vifaa hivyo ni pamoja na mashine 19 ziitwazo Dictaphone Machines na mashine nyingine 19 ziitwazo Transcribers. Viffaa hivyo vilikabidhiwa na Kaimu Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA UUZAJI VIFAA VYA UJENZI FMJ YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA WAANDISHI WA HABARI ...YATUMA UJUMBE KWA WAJENZI


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali KUHUSU mapambano ya kupunguza kuenea Kwa ugonjwa wa Covid-19,Kampuni ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi ya FMJ Hard Ware Lmt iliyopo Buguruni Kisiwani jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa vitakasa mikono kwa vyombo vya habari.

Uongozi wa Kampuni hiyo umesema unatambua kazi kubwa inaayofanywa na vyombo vya habari hasa katika utoaji wa elimu na kuhabarisha umma kuhusu Corona, hivyo wameona haja ya kuwawezesha vitakasa mikono...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani