FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO
Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Maiti yakaa mochwari siku 34, kisa mgogoro wa wazazi
 Mgogoro mwingine mkubwa wa kifamilia wa kugombea maiti, umeibuka mjini Moshi na kusababisha mwili wa Rosemary Marandu (38), kuhifadhiwa mochwari kwa siku 34.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Wavunja mochwari kutaka kuona maiti
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya baadhi ya wanakijiji wa Bukono, Kata ya Muleba, mkoani Kagera ambao walivunja mlango wa chumba cha kuhifadhi maiti Kituo cha Afya Kaigara, wakitaka kuchukua maiti ya mtoto aliyefariki dunia mkoani Arusha alikokuwa akifanya kazi za ndani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXJnk6vsCmKMKpdps3sz*HtLEx94aWYkyduzmuOS1Mbt9l9I*PBoDTLIuoENqYffg3kaDjBhn9gmp40utxxdOyp/maiti.jpg)
MAITI YA MBONGO YAWEKWA MOCHWARI CHINI MIEZI 8
Na Waandishi Wetu
VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini China miezi nane iliyopita. Mwili wa Habiba Yusuph Ally (24) ukiwa katika jeneza eneo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Tukio hilo linaweka historia ya...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Saudia yakataa tumbili wa Sweden Kisa ?
Saudi Arabia imekatalia mbali tumbili wanne kutoka Sweden kufuatia tofauti za kidiplomasia.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Siri utupaji viungo vya maiti yabainika
>Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), jana Jeshi la Polisi liliwatia nguvuni watumishi wanane wa chuo hicho kuhusiana na sakata hilo.
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Maiti yafukuliwa, yabainika kukatwa baadhi ya viungo
Taharuki imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Parknyigoti, Kata ya Ikoma, Wilaya ya Serengeti mkoani baada ya kufukua kaburi la Selina Jumapili na kukutwa sehemu mbalimbali za viungo vikiwa vimekatwa.
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Teknolojia ya kutumia viungo vya maiti yanukia Tanzania
Hii ni teknolojia ya kisasa ya kitabibu ambayo ni ya kutumia viungo vya maiti kuoka maisha ya wengine.
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi20 May
Watinga kuchukua maiti wakivalia nguo za magunia
>Ilikuwa ni kama kutekeleza maandiko ya Biblia yanayosema “jifungeni nguo za magunia, ombolezeni na kulia kwa uchunguâ€, wakati ndugu walipokwenda Hospitali ya Rufaa ya KCMC kuchukua mwili wa marehemu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania