Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri utupaji viungo vya maiti yabainika

>Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), jana Jeshi la Polisi liliwatia nguvuni watumishi wanane wa chuo hicho kuhusiana na sakata hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya kutumia viungo vya maiti yanukia Tanzania

Hii ni teknolojia ya kisasa ya kitabibu ambayo ni ya kutumia viungo vya maiti kuoka maisha ya wengine.

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti yafukuliwa, yabainika kukatwa baadhi ya viungo

Taharuki imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Parknyigoti, Kata ya Ikoma, Wilaya ya Serengeti mkoani baada ya kufukua kaburi la Selina Jumapili na kukutwa sehemu mbalimbali za viungo vikiwa vimekatwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua ufisadi CHC

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amedai kupata nyaraka za siri zinazobainisha ufisadi ulioko nyuma ya mashirika yaliyobinafsishwa chini ya Shirika Hodhi la Serikali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua mapya IPTL

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...

 

11 years ago

Mwananchi

SAKATA LA VIUNGO: Serikali yaingilia kati

>Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeingilia kati sakata la utupwaji wa viungo vya binadamu katika eneo la Mto Mpiji kwa kuunda kamati ya watu 15 kufanya uchunguzi na kumaliza kazi hiyo ndani ya siku saba.

 

11 years ago

CloudsFM

FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO

Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.

Vurugu hizo zimetokea baada ya mama mmoja mkazi wa Arusha aliyepeleka maiti ya mtumishi wake wa ndani na kuwakabidhi wazazi wake kwa masharti ya kutoifunua hali...

 

9 years ago

Mtanzania

Mke mwingine wa Slaa aibua maswali

josephineNA EVANS MAGEGE

HATIMAYE mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa dhidi yao hayako katika fikra zao kwani kwa sasa baada ya kuachana na siasa wanajipanga kuelekea upande mwingine wa kuwa wawekezaji.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Mushumbusi aliitaja mipango yao hiyo kuwa ni pamoja na kujenga shule na hospitali.

Mushumbusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani