Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke mwingine wa Slaa aibua maswali

josephineNA EVANS MAGEGE

HATIMAYE mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa dhidi yao hayako katika fikra zao kwani kwa sasa baada ya kuachana na siasa wanajipanga kuelekea upande mwingine wa kuwa wawekezaji.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Mushumbusi aliitaja mipango yao hiyo kuwa ni pamoja na kujenga shule na hospitali.

Mushumbusi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO WA JOHARI AIBUA MASWALI

BRIGHTON MASALU
KUFUATIA kuibuka kwa habari ya msanii nguli, Blandina Chagula ‘Johari’ kubeba mimba na kujifungua kwa siri hadi mtoto kufikisha umri wa miezi 7 na kuripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti ‘tumbo moja’ la hili la Risasi Jumamosi, mambo mengi mapya ikiwemo maswali yameibuka na kuzua ‘sintofahamu’ juu ya uhalisia wa jambo hilo, Amani linakupa mchapo kamili. Msanii nguli,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua mapya IPTL

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua ufisadi CHC

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amedai kupata nyaraka za siri zinazobainisha ufisadi ulioko nyuma ya mashirika yaliyobinafsishwa chini ya Shirika Hodhi la Serikali...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

11 years ago

GPL

BILIONEA ALIYEJIUA... MKE WAKE AIBUA MAZITO

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro ogin’g
MKE wa marehemu bilionea Suleiman Muhema, Zihija Muhema ametoboa siri kuhusiana na kifo cha mume wake aliyekutwa amefariki dunia kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya gari lake Kisarawe, Pwani. Akizungumza na gazeti hili juzi, Zihija alisema kifo cha mume wake kimegubikwa na usiri mkubwa baada ya mumewe siku ya tukio kumwambia kuwa anamfuata mama yake aliko, hali ambayo ilimshitua...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE, JE SHERIA INASEMAJE ?

Na  Bashir  Yakub.

Wakati  nilipoandika kuhusu  talaka  na  mambo  yanayokubalika  kisheria  kama  sababu  za  talaka  nilipata   maoni  na  maswali  mengi kutoka kwa  wasomaji wetu.  Kati  ya  hao  ni mmoja  ambaye  alijitambulisha  kwa  jina   na  kuwa  ni  mkazi  wa  kinondoni  Dar es  salaam. Huyu  aliuliza  swali  lake  ambalo  ndilo  kichwa  cha  makala  haya.  Alisema  ameziona  sababu  nilizoeleza  ambazo  zinapelekea   mtu  kupewa  talaka  lakini  sababu  inayohusu  tatizo  lake ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mke wa Dk Slaa afunguka

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuzungumza na gazeti hili na kusema yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye aliyemshauri kiongozi huyo wa Chadema kujiuzulu na kumzuia kushiriki vikao muhimu vya chama.

 

9 years ago

Mtanzania

Mke wa Dk. Slaa Amwaga mboga

mke wa slaaAZIZA MASOUD NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

KWA vijana wa mjini, wanaweza kusema  kwamba alichofanya Dk. Willibrod Slaa juzi kwa kuachana na siasa na kurusha tuhuma kwa chama chake, ni sawa na kumwaga ugali, na majibu aliyotoa mkewe wa kwanza, Rose Kamili jana, ni sawa na kumwaga mboga.

Mke huyo aliyedai kutelekezwa na Dk. Slaa mwaka 2010 pamoja na watoto, alisema kiongozi huyo ni mwongo na ni dhaifu kwa wanawake.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Rose alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani