Dk. Slaa aibua ufisadi CHC
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amedai kupata nyaraka za siri zinazobainisha ufisadi ulioko nyuma ya mashirika yaliyobinafsishwa chini ya Shirika Hodhi la Serikali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Msigwa aibua ufisadi mpya misitu
WAKATI Serikali ikiwekeza katika kupambana na ujangili nchini, imebainika kuwa raia kutoka China wamekuwa wakifanya ufisadi katika rasilimali za misitu hali inayohatarisha uhai wa rasilimali hiyo. Akizungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Dk. Slaa aibua mapya IPTL
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Mke mwingine wa Slaa aibua maswali
NA EVANS MAGEGE
HATIMAYE mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa dhidi yao hayako katika fikra zao kwani kwa sasa baada ya kuachana na siasa wanajipanga kuelekea upande mwingine wa kuwa wawekezaji.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Mushumbusi aliitaja mipango yao hiyo kuwa ni pamoja na kujenga shule na hospitali.
Mushumbusi...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sc-xA_49dck/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Dk. Slaa: Bunge lichunguzwe kwa ufisadi
SIKU chache baada ya wabunge kuumbuana kwa kuchukua fedha za safari bila kwenda wanakotakiwa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, ametaka Ofisi ya Bunge ichunguzwe haraka. Dk. Slaa ametoa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND — KYELA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Saidi kubenea
The post SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND – KYELA appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mkulo: Sijauza kiwanja cha CHC
MBUNGE wa Kilosa, Mustapha Mkulo, ameibuka na kukanusha tuhuma za kuuza kiwanja namba 10 cha Shirika Hodhi la Mali za Serikali (CHC) alipokuwa Waziri wa Fedha. Akizungumza na wazee jimboni...
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-22April2015.jpg)
Aidha, imebainika pia kuwa ya...