Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND — KYELA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Saidi kubenea

The post SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND – KYELA appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

HONDOHONDO : Tuwekewe bayana ufisadi katika Richmond

Mwalimu mmoja mstaafu kijijini kwetu akipata fursa ya kuzungumza kwenye mkutano wowote, hupenda kujionyesha kuwa anajua mambo. Basi utasikia akisema “once a teacher always a teacher”, yaani ukishakuwa mwalimu mara moja basi ni mwalimu daima.

 

9 years ago

Mwananchi

Lissu amjibu JK kuhusu Richmond

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri.

 

9 years ago

StarTV

Unajua alichokisema Mwakyembe kuhusu Richmond

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge, iliyochunguza sakata la upewaji zabuni ya mabilioni ya kufua umeme kwa kampuni ya Richmond, Dk Harrison Mwakyembe ameibua upya suala hilo.

Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli katika viwanja vya Luandanzovwe jijini Mbeya, jana.

Akizungumzia madai ya kwa nini baadhi ya wahusika hawakupelekwa mahakamani kama kuna ushahidi, mhadhiri huyo wa sheria alisema kosa la...

 

9 years ago

Vijimambo

TUNDU LISSU AMJIBU KIKWETE KUHUSU RICHMOND

Morogoro/Dar. Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri.

Juzi, akiwa Kigoma, Rais Kikwete alieleza kumshangaa Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mtu huyo anazunguka naye kwenye mikutano ya kampeni na kumtaka amtaje la sivyo yeye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua ufisadi CHC

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amedai kupata nyaraka za siri zinazobainisha ufisadi ulioko nyuma ya mashirika yaliyobinafsishwa chini ya Shirika Hodhi la Serikali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Bunge lichunguzwe kwa ufisadi

SIKU chache baada ya wabunge kuumbuana kwa kuchukua fedha za safari bila kwenda wanakotakiwa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, ametaka Ofisi ya Bunge ichunguzwe haraka. Dk. Slaa ametoa...

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA‏

Wakili wa Saed Kubenea, Peter Kibatala. Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. 2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la...

 

11 years ago

BBCSwahili

EU yaonya kuhusu ufisadi Ulaya

Kamishna wa bara ulaya anayesimamia maswala ya ndani ya bara hilo ameonya kuhusu viwango vikuu vya ufisadi miongoni mwa nchi wanachama wa bara hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani