Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu amjibu JK kuhusu Richmond

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TUNDU LISSU AMJIBU KIKWETE KUHUSU RICHMOND

Morogoro/Dar. Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri.

Juzi, akiwa Kigoma, Rais Kikwete alieleza kumshangaa Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mtu huyo anazunguka naye kwenye mikutano ya kampeni na kumtaka amtaje la sivyo yeye...

 

9 years ago

TheCitizen

War of words as Lissu links JK with Richmond

The Chadema party Legal Advisor Tundu Lissu took the war of words on Richmond a notch higher yesterday as he claimed that President Jakaya Kikwete is the man behind the scandalous power generation company.

 

11 years ago

Mwananchi

Jussa amjibu Kinana kuhusu Katiba ya Zanzibar

Siku chache baada ya Katibu Mkuu wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana kutaka watu wajilaumu kwa Katiba ya Zanzibar, Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Jussa, amefananisha kauli hiyo na kuzika kichwa mchangani wakati mwili uko nje.

 

9 years ago

GPL

SITTA AMJIBU SUMAYE KUHUSU MABEHEWA MABOVU

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Sitta akisisitiza jambo. Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo.…

 

9 years ago

StarTV

Unajua alichokisema Mwakyembe kuhusu Richmond

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge, iliyochunguza sakata la upewaji zabuni ya mabilioni ya kufua umeme kwa kampuni ya Richmond, Dk Harrison Mwakyembe ameibua upya suala hilo.

Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli katika viwanja vya Luandanzovwe jijini Mbeya, jana.

Akizungumzia madai ya kwa nini baadhi ya wahusika hawakupelekwa mahakamani kama kuna ushahidi, mhadhiri huyo wa sheria alisema kosa la...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND — KYELA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Saidi kubenea

The post SAID KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA na KUMBASHA HARRISON MWAKIEMBE KUHUSU UFISADI WA RICHMOND – KYELA appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani