Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAKATA LA VIUNGO: Serikali yaingilia kati

>Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeingilia kati sakata la utupwaji wa viungo vya binadamu katika eneo la Mto Mpiji kwa kuunda kamati ya watu 15 kufanya uchunguzi na kumaliza kazi hiyo ndani ya siku saba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu

 Serikali imekunjua makucha yake katika kudhibiti ada zinazotozwa katika vyombo vya utoaji elimu chini.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaingilia kati uporaji kiwanja familia ya Nyerere

Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius NyerereSIKU moja baada ya gazeti hili kutoa taarifa za uporaji wa kiwanja cha familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Serikali imeingilia kati na kuzuia ujenzi katika kiwanja hicho, uliokuwa ukiendelea kwa mabavu.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAINGILIA KATI CHANGAMOTO YA SUKARI KUKABILIANA NA CORONA

  Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-DodomaSerikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya sukari.
Amesema kuwa kila mwaka serikali imekuwa makini katika kutathmini mahitaji ya sukari kwa wananchi kadhalika uwezo wa...

 

10 years ago

GPL

MESSI aonekana ofisi za azam, serikali yaingilia kati

Kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’. Wilbert Molandi na Nassor Gallu
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imewataka wachezaji wa Ligi Kuu Bara kuwa na wanasheria wao wa kusimamia wakati wa kusaini mikataba yao. Kauli hiyo ya serikali imekuja baada ya kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’ kuwa katika mgogoro wa kisheria na...

 

5 years ago

Michuzi

CORONA YASABABISHA WAFANYABIASHARA KUCHELEWA KUAGIZA SUKARI KWA WAKATI, SERIKALI YAINGILIA KATI YATATUA CHANGAMOTO HIYO - WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya sukari nchini, Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Serikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEOMBWA KUINGILIA KATI SAKATA LA FAMILIA YA JUMA ISANGU, ARUMERU

 Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha, Juma Isangu akiwa na mkewe Janet Tinai pamoja na mwanao, Issa Juma (katikati) wakiangalia nyaraka mbalimbali nje ya nyumba yao mara baada ya kufukuzwa na kisha kuvunjiwa nyumba yao wilayani humo na kampuni ya Majembe Auction Mart kwa amri ya mahakama.Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha, Janet Tinai akilalamika mbele ya waandishi wa habari akiwa na baadhi ya vyombo vyake  mara baada ya kuhamishwa kwa amri ya mahakama...

 

9 years ago

Mtanzania

Marekani yaingilia kati Zanzibar

maalim seif (3)*Ni baada ya matokeo kufutwa, wataka tamko liondolewe

*Makamishna wa ZEC wataka kuzichapa kavukavu

NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR

SAA chache baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kutangaza kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa rais, wawakilishi na madiwani visiwani Zanzibar jana, Serikali ya Marekani imeingilia kati na kutaka tamko hilo liondolewe.

Serikali ya Marekani imesema imeshtushwa sana na tamko la Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha, kufuta matokeo ya uchaguzi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tuico yaingilia kati mgomo wa Urafiki

Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda na Biashara (Tuico) Mkoa wa Dar es Salaam, kimewataka wafanyakazi wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kusitisha mgomo na kuendelea na kazi wakati madai yao ya nyongeza ya mishahara na posho yakiendelea kushughulikiwa na mwajiri wao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yaingilia kati vita ya Ukraine.

Balozi wa Marekani nchini Ukraine,Geoffrey Pyatt, amesema wanajeshi wa Urusi wanaingilia mapigano kusini mashariki mwa Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani