HUAWEI YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA SECTA YA ICT NCHINI TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wpFlWBEIuOU/VXVPFND6mPI/AAAAAAAHc_U/1IuRBJgHxrg/s72-c/unnamedmmmm.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa HUAWEI Tanzania Peter Zhang, akizungumza na waandishi wa habari juu ya uwekezaji katika Tekinolojia ya ICT nchini.Mazungumzo hayo yalifanyika Makao makuu ya HUAWEI Tanzania jijini Dar es Salaam.
Tarehe 18 na 19 Juni 2015, ndani ya ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) uliopo mkoani Dar es Salaam, kampuni ya Huawei Tanzania itashirikiana na Wizara ya mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kufanya kongamano la sekta ya Teknolojia ya IT....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA ICT - WIZARA YA SAYANSI NA HUAWEI TANZANIA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA .
10 years ago
Mwananchi31 Oct
‘Huawei endeleeni kuwekeza Tanzania’
10 years ago
MichuziJK AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
9 years ago
MichuziTANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA MAONESHO YA VITO JIJINI BANGKOK, NCHINI THAILAND
11 years ago
MichuziWANANCHI WASISITIZWA KUWEKEZA KATIKA MIRADI YA GESI NCHINI
10 years ago
Coastweek20 Jun
China Huawei appointed ICT advisor to Tanzanian government
Yibada (English Edition)
Coastweek
DAR ES SALAAM Tanzania (Xinhua) -- Tanzanian government has chosen Huawei, a leading global information and communications technology (ICT) solutions provider based in China, to be its technical advisor in empowering the East African country's ICT ...
China's Huawei Chosen to Become ICT Advisor to Tanzanian GovernmentYibada (English Edition)
China's Huawei becomes ICT advisor to Tanzanian gov'tecns
all 3...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qLATbIl49jQ/VfFMBkbxeWI/AAAAAAAH3xA/E58GVKH3U9w/s72-c/image.jpg)
SHULE ZA SEKONDARI NCHINI ZASHAURIWA KUWEKEZA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI ENDELEVU YA BIOGESI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-qLATbIl49jQ/VfFMBkbxeWI/AAAAAAAH3xA/E58GVKH3U9w/s640/image.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8E26RAgPpus/VfFMBn-4xZI/AAAAAAAH3w8/bLf1f9RYsjo/s640/image_2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Shule za Sekondari nchini zashauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi
Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus Mwakasege akitoa ufafanusi kwa waandishi wa habari kuhusu manufaa ya mradi wa nishati endelevu ya Biogesi utakavyowanufaisha wanafunzi wa shule hiyo. (Picha zote na Aron Msigwa-MAELEZO).
Aron Msigwa-MAELEZO
9/9/2015.Dar es salaam.
Shule za Sekondari kote nchini zimeshauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi na majiko sanifu ili kulinda na kuhifadhi mazingira.
Ushauri huo umetolewa na Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji...