Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo aagiza umeme bure Tarime

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameagiza kutolewa kwa umeme bure kwenye Kituo cha Ushirika wa Kutokomeza Ukeketaji kilichopo Kata ya Gorong’a, wilayani Tarime Mkoa wa Mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo Aagiza kufungwa matoleo ya umwagiliaji

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ziara yake kwenye kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu. Katikati ni Meneja wa Kituo hicho cha Kidatu, Mhandisi Justus Mtolera na anayemfuatia ni Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera, Mhandisi Abdallah Ikwasa.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Kidatu cha Mkoani Morogoro, Mhandisi Justus Mtolera wakati wa ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Muhongo aagiza Rea iwatimue makandarasi wazembe Julai

>Waziri wa Nishati na Madini, Profesa  Sospeter Muhongo ameiagiza Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kuwafutia mikataba makandarasi wote ambao watakuwa hawajaanza kazi ifikapo Julai Mosi, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Bilal aagiza umeme wa upepo uzalishwe haraka

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na wawekezaji wa umeme wa upepo washirikiane kuhakikisha mradi wa kufua umeme kwa upepo unaanza haraka iwezekanavyo.     

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

10 years ago

Habarileo

Miradi ya umeme ikamilike haraka - Muhongo

Profesa Muhongo.WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakandarasi wanaojenga miradi ya umeme, kuikamilisha haraka kabla ya Aprili 2015.

 

9 years ago

Mtanzania

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

muhongo_clipNA FLORENCE SANAWA, MTWARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.

Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.

“TANESCO wamekuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo achoshwa umeme wa bei juu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.

 

9 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo aahidi kushusha bei ya umeme

WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara hiyo, ambao pamoja na mambo mengine, utaelezea bei ya nishati hiyo itakavyoshuka. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo alisema mbali na mkakati wa kushusha bei ya umeme, kasi ya kusambaza umeme...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani