Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi ya umeme ikamilike haraka - Muhongo

Profesa Muhongo.WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakandarasi wanaojenga miradi ya umeme, kuikamilisha haraka kabla ya Aprili 2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa MaraMeneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huoWananchi wakimsikiliza

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Bilal aagiza umeme wa upepo uzalishwe haraka

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na wawekezaji wa umeme wa upepo washirikiane kuhakikisha mradi wa kufua umeme kwa upepo unaanza haraka iwezekanavyo.     

 

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KILIMO AWAAGIZA WAKANDARASI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUMALIZA MIRADI HARAKA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya, akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi na wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Sehemu ya wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji wakifatilia maelekezo ya Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana...

 

10 years ago

Habarileo

Nimeiachia Tanesco miradi ya kuondoa umasikini-Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema pamoja na kujiuzulu, ameiachia Shirika la Umeme (Tanesco), miradi ya kuongeza uzalishaji umeme, ambao ni muhimu katika kuifanya nchi kuwa ya kipato cha kati miaka kumi ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aagiza umeme bure Tarime

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameagiza kutolewa kwa umeme bure kwenye Kituo cha Ushirika wa Kutokomeza Ukeketaji kilichopo Kata ya Gorong’a, wilayani Tarime Mkoa wa Mara.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

9 years ago

Mtanzania

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

muhongo_clipNA FLORENCE SANAWA, MTWARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.

Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.

“TANESCO wamekuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo achoshwa umeme wa bei juu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani