jamii inapaswa kuwekeza katika sayansi na teknolojia - Balozi Sefue
Na May-Zuhura Simba
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa ili jamii iweze kukua kwa kasi na kupata maendeleo haina budi kuwekeza katika sayansi na teknolojia.
Aliongea hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa warsha ya kupitia marejeo ya mfumo wa Taifa wa sayansi,teknolojia na ubunifu ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
“ubunifu katika sayansi na teknolojia ni kitu muhimu katika kupata uvumbuzi wa vitu mbalimbali muhimu vinavyoleta maendelao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Mar
Sefue asisitiza matumizi ya sayansi, teknolojia
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ili nchi iweze kuendelea ni lazima iwekeze katika sayansi, teknolojia na ubunifu na kuhamasisha vijana kuwa wavumbuzi wa mambo.
11 years ago
MichuziMH. MKAPA AZITAKA JAMII ZA KIAFRIKA KUWA NA UELEWA WA KUTOSHA KUHUSU MAMBO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia uliowakutanisha wataalam mbalimbali wa mambo ya jiolojia ulimwenguni akiwa ameongozana na Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Naibu Waziri wake, Mhe. Stephen Masele.
Mhe. Mkapa ameeleza...
11 years ago
Dewji Blog15 Aug
Mkapa azitaka jamii za Kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya Sayansi na Teknolojia
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa akiwahutubia wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Na Benedict Liwenga-MAELEZO.
RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa amezitaka jamii nyingi za kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na mchango wa sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo nchini.
Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Tutajuta tusipowekeza katika sayansi, teknolojia
10 years ago
Habarileo19 Dec
JK: Serikali itawekeza katika sayansi, teknolojia
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika masomo ya sayansi na teknolojia, kwani hiyo ndio siri kubwa ya maendeleo ya nchi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aQe6gJyu-co/Xm3DhK7kN0I/AAAAAAALjtU/yLV8NsLgUDY3kvG0dNYHf8oxEArcWNbGACLcBGAsYHQ/s72-c/5ea89720-16c0-4695-b7ce-6eb34b67a3d0.jpg)
SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA KUENDELEZA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU
Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Peter Serukamba wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Miaka 10 ya ustawi, serikali yapiga hatua katika sekta ya Tehema na Sayansi na Teknolojia
1.Katika Miaka 10 ya ustawi, serikali imekuwa katika jitihada za kuendeleza utekelezaji wa mipango na mikakati mbalimbali kwa lengo la kuinua Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ili kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
2. Katika Miaka 10 ya ustawi, tumeimarisha Utendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kupitia upya Sheria ya Tume ili kuipa COSTECH mamlaka ya kiudhibiti pamoja na kutambua mchango wa ubunifu.https://youtu.be/ZaXEKpIn-cI
3. Katika Miaka 10 ya...
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI