Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. MKAPA AZITAKA JAMII ZA KIAFRIKA KUWA NA UELEWA WA KUTOSHA KUHUSU MAMBO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa amezitaka jamii nyingi za kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na mchango wa sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo nchini.
Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia uliowakutanisha wataalam mbalimbali wa mambo ya jiolojia ulimwenguni akiwa ameongozana na Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Naibu Waziri wake, Mhe. Stephen Masele.
Mhe. Mkapa ameeleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkapa azitaka jamii za Kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya Sayansi na Teknolojia

PIX 4

Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa akiwahutubia wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Na Benedict Liwenga-MAELEZO.

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa amezitaka jamii nyingi za kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na mchango wa sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo nchini.

Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia...

 

10 years ago

Michuzi

jamii inapaswa kuwekeza katika sayansi na teknolojia - Balozi Sefue

Na May-Zuhura Simba
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa ili jamii iweze kukua kwa kasi na kupata maendeleo haina budi kuwekeza katika sayansi na teknolojia.
Aliongea hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa warsha ya kupitia marejeo ya mfumo wa Taifa wa sayansi,teknolojia na ubunifu ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
“ubunifu katika sayansi na teknolojia ni kitu muhimu katika kupata uvumbuzi wa vitu mbalimbali muhimu vinavyoleta maendelao...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU SAYANSI YA JAMII

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili kuhusu Sauti ya Kwanza ya Sayansi ya Jamii. Mkutano huo ambao unafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unawashirikisha Wajumbe kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria na Canada. Katika hotuba yake Mhe. Membe alisisitiza umuhimu wa Wasomi na Wanazuoni kujikita katika Tafiti za Kisayansi ili kuja...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAMINI MALEMI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akifungua mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double TreeJijini Dar es Salaam. Mkutano huu unawashirikisha wadau wa sekta Teknolojia ya Usalama kutoka nchini Ujerumani na Tanzania Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Tutajuta tusipowekeza katika sayansi, teknolojia

Jana tulichapisha habari kuhusu madaktari katika Chuo cha Tiba cha Amrita, nchini India ambao wamefanikiwa kufanya upasuaji wa aina yake wa kupandikiza mikono mipya kwa binadamu aliyekatika viungo hivyo. Upandikizaji huo ambao umefanyika kwa mara ya kwanza nchini humo ulimhusu mwanamume mwenye umri wa miaka 30, aliyekatika mikono katika ajali ya treni. Mikono hiyo mipya ilichukuliwa kutoka kwa kijana mwenye umri wa miaka 24 aliyefariki katika ajali ya gari.

 

10 years ago

Habarileo

Sefue asisitiza matumizi ya sayansi, teknolojia

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni SefueKATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ili nchi iweze kuendelea ni lazima iwekeze katika sayansi, teknolojia na ubunifu na kuhamasisha vijana kuwa wavumbuzi wa mambo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani