NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAMINI MALEMI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-ggkCWPef5Jo/VYP8MTFnueI/AAAAAAAHhao/xWnI_mkAZvE/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akifungua mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double TreeJijini Dar es Salaam. Mkutano huu unawashirikisha wadau wa sekta Teknolojia ya Usalama kutoka nchini Ujerumani na Tanzania
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA TEKNOLOJIA YA USALAMA KUTOKA UJERUMANI NA TANZANIA ULIOANZA LEO
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU SERA YA TAIFA YA JESHI LA MAGEREZA KATIKA HOTELI YA LIVINGSTONE - BAGAMOYO
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WATUMISHI WA IDARA YA WAKIMBIZI, LEO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lAZjAUJ5eIU/U6BcT0oGdrI/AAAAAAAFrUc/Juh5yglTxTs/s72-c/unnamed+%252862%2529.jpg)
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO UTUMISHI WA UMMA DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-lAZjAUJ5eIU/U6BcT0oGdrI/AAAAAAAFrUc/Juh5yglTxTs/s1600/unnamed+%252862%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sM9aznMkDg0/U6BcWtf-hZI/AAAAAAAFrUw/kLst1OekAAg/s1600/unnamed+%252859%2529.jpg)
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA IDARA YA UHAMIAJI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM — AWATAKA WATENDAJI KWENDA NA KASI MPYA
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi26 Nov
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA JESHI LA POLISI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/11/ab2.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/11/ab3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO