Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bibi: Tuko tayari kwa kifo cha Kristina

NA MWANDISHI WETU
KADRI hali ya mtoto wa aliyekuwa nguli wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, inavyozidi kuwa mbaya, ndugu zake wametangaza kuwa tayari kupokea taarifa za kifo chake.
Jana bibi wa binti huyo, Cissy Houston, aliweka wazi kwamba familia ya binti huyo na ndugu kwa ujumla imeshajiandaa na mazishi ya binti huyo, hivyo ipo tayari kupokea taarifa yoyote kuhusu binti wao.
“Familia imejiandaa kwa mazishi ya mjukuu wangu kwa kuwa hadi leo hawajui hatima yake...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kifo cha Kristina Brown, chanzo chajulikana

KristinaATLANTA, MAREKANI

BAADA ya kifo cha mtoto wa aliyekuwa nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, kutokea mapema Julai mwaka huu, shirika la uchunguzi wa kifo hicho, The Fulton County Medical Examiner limesema limepata majibu ya kifo hicho.

Hata hivyo, shirika hilo limesema kuwa haliwezi kuweka wazi chanzo cha kifo hicho kwa ajili ya usalama.

Awali kulikuwa na taarifa kwamba chanzo cha kifo hicho kilitokana na kuwekewa sumu kwenye kinywaji chake huku akishutumiwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Kifo cha Kristina chamfikisha Nick Gordon mahakamani

nick-gordon2--zGEORGIA, Marekani

ALIYEKUWA mpenzi wa marehemu Kristina Brown, Nick Gordon, amekana kuhusika na kifo cha aliyekuwa mpenzi wake mtoto wa Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, Kristina Brown.

Kristina alifariki Julai 26 baada ya kuanguka akiwa bafuni Januari 31 mwaka huu na Gordon kuhusishwa na kifo hicho kutokana na kuwa na marehemu mara ya mwisho kabla ya kupatwa na ugonjwa huo.

Vipimo vilivyopimwa vya mwanadada huyo vimeonyesha aliwekewa sumu kwenye kinywaji chake na Gordon ndiye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tuko tayari kwenda mahabusu’

NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Levelos, Ephata Nanyaro, wote wa CHADEMA, wamesema wamejiandaa kukaa mahabusu  gerezani Kisongo ikiwa ni ishara ya kupinga unyanyasaji na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gareth Bale:Tuko tayari kuibwaga Barca

Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale amesema kuwa yuko tayari kukabiliana na Barcelona katika mechi ya El Classico.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Ufaransa: Tuko tayari kuwekeza na wazawa

SERIKALI ya Ufaranza imesema kuwa iko tayari kuwekeza kwa ubia na wafanyabiashara wa ndani ili Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao. Kauli hiyo ilitolewa jana na Balozi wa Ufaranza nchini,...

 

10 years ago

GPL

WAJE AFUTA ZIARA YA AFRIKA MASHARIKI BAADA YA KIFO CHA BIBI YAKE

Mwanamuziki wa Nigeria, Waje. MWIMBAJI wa kike wa Nigeria, Waje, amefuta ziara yake aliyokuwa aifanye Afrika Mashariki kutokana na kifo cha bibi yake kilichotokea majuzi. Ziara hiyo ilikuwa ifanyike tangu Julai 2 hadi Julai 6 mwaka huu. “Mashabiki wangu wa Tanzania na Uganda nasikitika kuwajulisha kwamba ziara hiyo imefutwa. Nawaomba radhi kwa hali hiyo, hata hivyo mambo yatapangwa upya. Kifo cha bibi yangu kimenilazimisha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: NIPO TAYARI KWA KIFO!

SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1NbUP9j ...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND SASA NIPO TAYARI KWA KIFO

diamond mtotoStaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mtoto wake Latifah ‘Princess Tiffah’.
SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.

KWANZA ANAMSHUKURU MUNGU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani