Kifo cha Kristina chamfikisha Nick Gordon mahakamani
GEORGIA, Marekani
ALIYEKUWA mpenzi wa marehemu Kristina Brown, Nick Gordon, amekana kuhusika na kifo cha aliyekuwa mpenzi wake mtoto wa Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, Kristina Brown.
Kristina alifariki Julai 26 baada ya kuanguka akiwa bafuni Januari 31 mwaka huu na Gordon kuhusishwa na kifo hicho kutokana na kuwa na marehemu mara ya mwisho kabla ya kupatwa na ugonjwa huo.
Vipimo vilivyopimwa vya mwanadada huyo vimeonyesha aliwekewa sumu kwenye kinywaji chake na Gordon ndiye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Nick Gordon amkumbuka Kristina
GOEGIA, Marekani
IKIWA ni wiki ya pili tangu kuzikwa kwa Kristina Brown, aliyekuwa mpenzi wake, Nick Gordon, ameibuka na kutangaza kuendelea kumpenda mpenzi wake huyo.
Gordon alizuiwa kumzika mpenzi wake huyo na familia ya Kristina kutokana na kumtuhumu kuhusika na kifo cha Kristina.
“Najua siwezi kukuona tena duniani, lakini acha niseme kuwa nitaendelea kukupenda maishani mwangu, siwezi kusahau umoja wetu wakati upo hai, lakini najua utakuwa umetangulia mbele za haki.
“Kuna wakati nacheka...
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Nick Gordon atamani Kristina arudi
GEOGIA, Marekani
ALIYEKUWA mpenzi wa marehemu Kristina Brown, Nick Gordon, amesema hawezi kuishi bila mpenzi wake huyo.
Gordon aliandika katika ukurasa wake katika mtandao wa Twitter kwamba ataendelea kumkumbuka mpenzi wake na mama mkwe wake, Whitney Houston, aliyefariki mwaka 2012.
“Nitaendelea kumkumbuka Kristina na mama yake kwa kuwa nilikuwa nawapenda sana, nilikuwa siwezi kufanya lolote bila Kristina.
“Kila siku wakati wa kulala mawazo yangu mengi ni juu ya Kristina, nitapotea katika...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Kifo cha Kristina Brown, chanzo chajulikana
ATLANTA, MAREKANI
BAADA ya kifo cha mtoto wa aliyekuwa nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, kutokea mapema Julai mwaka huu, shirika la uchunguzi wa kifo hicho, The Fulton County Medical Examiner limesema limepata majibu ya kifo hicho.
Hata hivyo, shirika hilo limesema kuwa haliwezi kuweka wazi chanzo cha kifo hicho kwa ajili ya usalama.
Awali kulikuwa na taarifa kwamba chanzo cha kifo hicho kilitokana na kuwekewa sumu kwenye kinywaji chake huku akishutumiwa...
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Bibi: Tuko tayari kwa kifo cha Kristina
NA MWANDISHI WETU
KADRI hali ya mtoto wa aliyekuwa nguli wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, inavyozidi kuwa mbaya, ndugu zake wametangaza kuwa tayari kupokea taarifa za kifo chake.
Jana bibi wa binti huyo, Cissy Houston, aliweka wazi kwamba familia ya binti huyo na ndugu kwa ujumla imeshajiandaa na mazishi ya binti huyo, hivyo ipo tayari kupokea taarifa yoyote kuhusu binti wao.
“Familia imejiandaa kwa mazishi ya mjukuu wangu kwa kuwa hadi leo hawajui hatima yake...
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
10 years ago
Bongo525 Sep
Nick Cannon akanusha kuwa chanzo cha Amber Rose kuomba talaka kwa mumewe
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-j05GOWYLiB8/XvB8e8SGAoI/AAAAAAALu5Y/fHlSZlSuHNMefCThnNXjW4J2AiQlxplHQCLcBGAsYHQ/s72-c/hCWUmxf2_400x400.png)
TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-j05GOWYLiB8/XvB8e8SGAoI/AAAAAAALu5Y/fHlSZlSuHNMefCThnNXjW4J2AiQlxplHQCLcBGAsYHQ/s320/hCWUmxf2_400x400.png)
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bgWZynVz*oWPxSnpdx81*nEWKnfR3YzfSf-rKjECbrgybhW*Lm71cHR*WwDE5OZ1owfBZc4HOPQOKXfTAK2yAQMGr3bGNgag/secky2.jpg)
FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY