Warioba ngangari
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, amesema kamwe hawezi kuacha kusimamia rasimu waliyoitoa Warioba amesema anafanya hivyo kwakuwa rasimu hiyo haikutokana na mawazo yake...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
UKAWA ngangari
LICHA ya kupigwa marufuku ya kufanya mikutano yake mkoani Kigoma, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umesema utaendelea na mikutano yake mkoani humo kama walivyopanga. Kauli hiyo ya UKAWA, inatokana...
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Arsenal bando ngangari
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Maalim Seif: Ukawa ngangari
![maalim seif sharif hamad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/maalim-seif-sharif-hamad-300x200.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
Na Silvan Kiwale, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uko palepale licha ya kujiuzulu uenyekiti kwa Profesa Ibrahim Lipumba.
Kauli hiyo aliitoa jana jioni alipokuwa akizungumza na mamia ya wanachama na wapenzi wa chama hicho waliofurika katika Ofisi za makao maku ya CUF Buguruni jijini Dar es Salaam.
Alisema pamoja katika siasa kuna...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika Ndugai: Nipo ngangari
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida.
Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho.
Akizungumza na MTANZANIA jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini India, Spika Ndugai alizungumzia afya yake, aliondoka nchini Desemba 3, mwaka huu kwenda kuwaona madaktari wake ili...
11 years ago
BBCSwahili19 May
Bado tuko ngangari uongozini - Libya
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Nigeria:Jeshi lasema liko ngangari
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Chadema ngangari, IGP Mangu aonya
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuwa ngangari kwa kusisitiza kuwa maandamano yake yako palepale.
Chadema kimesema kuwa watajilinda wenyewe katika mikutano yao kwa sababu wana vijana waliopata mafunzo ya ulinzi na usalama.
Chama hicho jana kilitangaza kuanza kutekeleza maazimio ya mkutano wake mkuu kwa ajili ya kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchi nzima.
Wakati Chadema wakisisitiza...