Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Ndugai: Nipo ngangari

Job-NdugaiNa Mwandishi Wetu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida.

Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho.

Akizungumza na MTANZANIA jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini India, Spika Ndugai alizungumzia afya yake, aliondoka nchini Desemba 3, mwaka huu kwenda kuwaona madaktari wake ili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ndugai Spika wa Bunge la 11

MBUNGE wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Yustino Ndugai (55) ndiye Spika mpya wa Bunge atakayeongoza Bunge la 11 lililoanza mkutano wake wa kwanza jana. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichaguliwa kwa kishindo, akitwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wengine saba kutoka vyama vya siasa kwa kupata asilimia 70 ya kura zote zilizopigwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Spika Ndugai anatabiwa India

Spika wa Bunge, Job Ndugai ni mgonjwa na yupo India kwa matibabu.

 

9 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI

Ashinda kura kwa asilimia 70 Ndugu Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .

 

9 years ago

Mwananchi

Spika Ndugai anatibiwa India

Spika wa Bunge, Job Ndugai ni mgonjwa na yupo India kwa matibabu.

 

9 years ago

Mwananchi

Job Ndugai ndiye Spika wa Bunge la 11

Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai ameshinda kiti cha Uspika kwa kura 264 sawa na asilimia 70 na hivyo kuwa Spika wa Bbunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AMPIGA MGOMBEA MWENZIE

Mbunge wa Kongwa aliyemaliza muda wake ambaye pia ni naibu spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amempiga mgombea mwenzie kwa nafasi ya ubunge, Dk. Joseph Chilongani kwa madai ya kumpiga picha wakati anafanya fujoTukio hilo limetokea jana jioni wakati wagombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM wakiwa kwenye mkutano na wanachama wa CCM kwa ajili ya kujinadi kwenye kata ya Ugogoni iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ambaye pia ni mdogo wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India

Ndugai (1)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.Ndugai (2)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu....

 

9 years ago

StarTV

Job Ndugai achaguliwa kuwa spika, wabunge waapishwa

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza vikao vyake  mjini Dodoma kwa kumchagua Job Ndugai wa Chama  cha Mapinduzi CCM kuwa spika wa bunge hilo  kati ya wagombea wenzake nane kutoka vyama vya upinzani waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.

Ndugai amepata kura 254 akifuatiwa na Dokta Ole Medeye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA aliyepata kura 109 na wagombea wengine wakikosa kura yoyote.

Bunge la 11 limeanza vikao vyakao vyake majira ya 3 asubuhi kwa katibu wa bunge  Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani