Spika Ndugai anatibiwa India
Spika wa Bunge, Job Ndugai ni mgonjwa na yupo India kwa matibabu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Dec
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu....
9 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA
9 years ago
Habarileo18 Nov
Ndugai Spika wa Bunge la 11
MBUNGE wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Yustino Ndugai (55) ndiye Spika mpya wa Bunge atakayeongoza Bunge la 11 lililoanza mkutano wake wa kwanza jana. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichaguliwa kwa kishindo, akitwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wengine saba kutoka vyama vya siasa kwa kupata asilimia 70 ya kura zote zilizopigwa.
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-gd1LiVlCUA8/Vkr5_kBUxEI/AAAAAAAArgk/r7Owvg6wzBs/s72-c/7.jpg)
SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gd1LiVlCUA8/Vkr5_kBUxEI/AAAAAAAArgk/r7Owvg6wzBs/s640/7.jpg)
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika Ndugai: Nipo ngangari
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida.
Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake katika Hospital ya Apollo na kwamba madaktari wake bado wanaendelea kumfanyia uchunguzi wa macho.
Akizungumza na MTANZANIA jana kupitia simu yake ya kuganjani kutokea nchini India, Spika Ndugai alizungumzia afya yake, aliondoka nchini Desemba 3, mwaka huu kwenda kuwaona madaktari wake ili...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Job Ndugai ndiye Spika wa Bunge la 11
9 years ago
StarTV18 Nov
Job Ndugai achaguliwa kuwa spika, wabunge waapishwa
Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza vikao vyake mjini Dodoma kwa kumchagua Job Ndugai wa Chama cha Mapinduzi CCM kuwa spika wa bunge hilo kati ya wagombea wenzake nane kutoka vyama vya upinzani waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.
Ndugai amepata kura 254 akifuatiwa na Dokta Ole Medeye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA aliyepata kura 109 na wagombea wengine wakikosa kura yoyote.
Bunge la 11 limeanza vikao vyakao vyake majira ya 3 asubuhi kwa katibu wa bunge Dk...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-03BMbnlI4mw/VPdm7VFD8EI/AAAAAAAAcZY/dr-X45BV2Hc/s72-c/Untitled.png)