TAS Geita wataka Serikali kufuta vibali vya waganga wa jadi
Wakazi wa kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita wakianza maandamano ya matembezi ya amani ya kupinga mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ule mavu wa ngozi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Na Alphonce Kabilondo, Geita .
MWENYEKITI wa Chama cha walemavu wa ngozi (Albinisms) (TAS) mkoani Geita, Bw Issack Timothy ameitaka serikali kufuta vibali vya waganga wajadi nchini ili kukomesha mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na waganga wa jadi kuwa chanzo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Apr
vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same
NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
CCM yamtaka Nyalandu kufuta vibali vya uvunaji
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI WANAOPIGA RAMLI NCHINI

11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
TAS wataka vitabu vya maandishi makubwa
SERIKALI imeombwa kuchapisha vitabu maalum vyenye maandishi makubwa katika shule mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) walio na uono hafifu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Jeshi la Polisi Singida lawashikilia waganga wa jadi wakiwa na nyara mbalimbali za serikali
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, limetangaza vita dhidi ya waganga wa kienyeji wasiokuwa na vibali ambao wanajihusisha na kutoa ramli chonganishi. Jeshi hilo limeanzisha msako mkali kwa waganga hao na kufanikiwa kukamata wanane katika kata moja ya Minga katika manispaa ya Singida.
Akitoa taarifa ya msako huo ulioanza machi 16 mwaka huu saa sita mchana, Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida,...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Waganga wa jadi Moshi waonyana
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Waganga 13 wa jadi watiwa mbaroni Katavi
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, limewakamata waganga 13 wa jadi katika Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele, kwakudaiwa kufanya kazi hiyo bila vibali maalumu.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari, aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba, waganga hao walikamatwa baada ya msako uliofanyika Machi 14 na 15 mwaka huu.
Pamoja na waganga hao kukamatwa, pia walipopekuliwa kwenye nyumba zao walikutwa na vitu mbalimbali wanavyovitumia kufanyia shughuli...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku
SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Mabinti watoa mimba kwa waganga wa jadi
WATOTO wanaokatisha masomo kwa kupata ujauzito na wengine wanaopata mimba kabla ya ndoa wakiwa nyumbani, wanadaiwa kujihusisha na utoaji mimba kwa waganga wa jadi kutokana na hofu ya kutengwa na jamii.