Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAS wataka vitabu vya maandishi makubwa

SERIKALI imeombwa kuchapisha vitabu maalum vyenye maandishi makubwa katika shule mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) walio na uono hafifu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TAS Geita wataka Serikali kufuta vibali vya waganga wa jadi

1.

Wakazi wa kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita wakianza maandamano ya matembezi  ya amani ya kupinga mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ule mavu wa ngozi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Na Alphonce Kabilondo, Geita .

MWENYEKITI wa Chama cha walemavu wa ngozi (Albinisms) (TAS) mkoani Geita, Bw Issack Timothy ameitaka serikali kufuta vibali vya  waganga  wajadi nchini ili kukomesha mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na waganga wa jadi kuwa chanzo...

 

9 years ago

Bongo5

Vitabu ni zaidi ya maandishi by Faraja Nyalandu

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kila mwisho wa mwaka huwa ninataja tano bora ya vitabu nilivyosoma mwaka huo. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili, unaweza kuona tano bora ya 2013 hapa na hata ya 2014 katika post hii ya Instagram.

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kusoma Vitabu ni Tabia

Ninapenda kusoma vitabu, sikumbuki lini nilianza kupenda kusoma vitabu lakini nakumbuka ni tabia niliyokua nayo tokea mtoto. Mama yangu alikuwa mwalimu aliyehakikisha ualimu wake hauishii tu shuleni anapomaliza vipindi bali aliuleta mpaka nyumbani.

Kupe anayefaa

Nikisoma...

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Vitabu vya Shaaban Robert


Na Profesa Mbele
Jina la Shaaban Robert ni maarufu miongoni mwa wa-Tanzania na wengine wa nchi zingine wanaokijua ki-Swahili. Lakini, tujiulize ni wa-Tanzania wepi ambao wamesoma angalau vitabu vichache vya Shaaban Robert. 

Ni wangapi wamesoma au wanasoma mashairi yake, tenzi zake, insha zake, barua zake, na riwaya zake?
Ni wangapi wamesoma vitabu vyake vingine, kama vile Wasifu wa Siti Binti Saad, Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, na tafsiri yake ya mashairi ya Omar Khayyam? Kama hatuna...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Necta yaanzisha vitabu vya uchambuzi

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limeanzisha vitabu vya uchambuzi vinavyoonyesha tathmini ya ufaulu kwa kila swali katika kila somo kwa shule za msingi. Vitabu hivyo vitasaidia kuongeza kiwango cha ufaulu...

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo yasaidia vitabu vya Sh6mil

Kampuni ya Simu ya Tigo imetoa msaada wa vitabu vya wanafunzi wa darasa la nne na la saba katika Shule ya Msingi Kilimani vyenye thamani ya Sh6.1 milioni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Benki yatoa vitabu vya mil.1.4/-

BENKI ya Afrika, Tawi la Mtwara imetoa msaada wa vitabu 118 vyenye thamani ya sh. milioni 1.4 kwa Shule ya Sekondari ya Bandari ya mkoani hapa. Akizungumza mara baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mushkeli vitabu vya chenji ya rada

SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani