Tigo yasaidia vitabu vya Sh6mil
Kampuni ya Simu ya Tigo imetoa msaada wa vitabu vya wanafunzi wa darasa la nne na la saba katika Shule ya Msingi Kilimani vyenye thamani ya Sh6.1 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Tigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball tournament.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja amesema,moja ya sehemu ya sera ya kampuni ni kukabiliana na changamoto mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na kukuza michezo.Hii ni kutokana na watanzania wengi wanapenda michezo kwa hiyo basi tigo inashriki katika kukuza...
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Tiper yasaidia vifaa vya maabara Shule ya Msafiri
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kuhifadhi mafuta nchini, Tiper imetoa msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Msafiri, iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuboresha kiwango cha elimu nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika jana wilayani Rufiji, Mkurugenzi Mtendaji wa Tiper, Daniel Belair, alisema msaada huo pia ni sehemu ya mpango endelevu wa kampuni hiyo...
10 years ago
MichuziVitabu vya Shaaban Robert
Na Profesa Mbele
Jina la Shaaban Robert ni maarufu miongoni mwa wa-Tanzania na wengine wa nchi zingine wanaokijua ki-Swahili. Lakini, tujiulize ni wa-Tanzania wepi ambao wamesoma angalau vitabu vichache vya Shaaban Robert.
Ni wangapi wamesoma au wanasoma mashairi yake, tenzi zake, insha zake, barua zake, na riwaya zake?
Ni wangapi wamesoma vitabu vyake vingine, kama vile Wasifu wa Siti Binti Saad, Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, na tafsiri yake ya mashairi ya Omar Khayyam? Kama hatuna...
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA GEITA
Sambamba na kusaidia ujenzi na ukarabati wa madarasa Benki ya crdb ilichangia maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika mjini Geita kwa sababu benki hiyo inawajali wateja wake. Maadhimisho ya wiki Huduma kwa...
5 years ago
MichuziLetshego yasaidia vita dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona
Mbali ya taasisi hiyo, pia taasisi nyingine tisa nazo zilikabidhi msaada wao kwa serikali na kufanya jumla ya Sh Bilioni 3.2 kupatikana kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Letshego ilikabidhi msaada huo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye alipokea kwa niaba ya waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Katika makabidhiano...
11 years ago
Habarileo23 Mar
Mushkeli vitabu vya chenji ya rada
SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.
10 years ago
GPL