CCM yamtaka Nyalandu kufuta vibali vya uvunaji
Chama cha Mapinduzi mkoani hapa kimeitaka Serikali kufuta vibali vyote vya uvunaji mbao vilivyotolewa katika msitu wa Sao hill uliopo wilayani Mufindi kutokana na madai kuwa vilitolewa kwa upendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
TAS Geita wataka Serikali kufuta vibali vya waganga wa jadi
Wakazi wa kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita wakianza maandamano ya matembezi ya amani ya kupinga mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ule mavu wa ngozi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Na Alphonce Kabilondo, Geita .
MWENYEKITI wa Chama cha walemavu wa ngozi (Albinisms) (TAS) mkoani Geita, Bw Issack Timothy ameitaka serikali kufuta vibali vya waganga wajadi nchini ili kukomesha mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na waganga wa jadi kuwa chanzo...
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
10 years ago
Vijimambo03 May
Kiama vyama vya siasa, Mageuzi kuwalazimu kubadilisha Katiba zao, Lengo ni pamoja na kufuta vikundi vya ulinzi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JajiMutungi(3).jpg)
Mtikisiko mkubwa unavikabili vyama vya siasa nchini, vinapoandaliwa kufanya mabadiliko ya lazima kwa Katiba zao, ili pamoja na mambo mengine, vifute vifungu vinavyohalalisha uhai wa vikundi vya ulinzi na usalama.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuwapo kwa vifungu vya katiba hizo hasa vinavyohusu uwapo wa vikundi vya ulinzi na usalama na hivyo kukiuka Katiba ya nchi inayotoa haki hiyo kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Taarifa za uhakika...
9 years ago
Habarileo18 Oct
Vibali vya uwindaji vyasitishwa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.
10 years ago
Mtanzania08 Apr
vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same
NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘E-Immagration’ kurahisisha vibali vya uhamiaji
MFUMO wa ‘E-immagration’ unaelezwa kuwa utakuwa suluhu katika kutatua tatizo la kuchukua muda mrefu katika kushughulikia vibali vya wageni wanaotoka na kuingia nchini. Akizungumza na Tanzania Daima katika maonyesho ya...
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Waganda wapata vibali vya kazi Saudia
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Mbeya kudhibiti utoaji vibali vya ujenzi
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya imesema kuanzia sasa vibali vyote vya ujenzi wa majengo katika jiji hilo vitatolewa na Mhandisi wa Ujenzi badala ya maofisa wengine wa jiji ili kudhibiti...
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Kampuni yahusishwa vibali vya utoroshaji wanyama
KAMPUNI ya HAM Marketing and Gumbo Enterprise ya jijini Arusha imetajwa kuhusika katika uombaji wa vibali vya kukamata wanyama hai 154, wakiwemo Twiga wanne waliotoroshwa kwenda uarabuni kupitia uwanja wa Kimataifa...