Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana awavaa wabunge CCM



Awataka wasisubiri kuaibishwa, wajipimeLeizer aibua mapya, kubwaga manyanga
NA WAANDISHI WETU, LONGIDO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wabunge wake kujipima kama wanatosha kabla ya kuingia tena kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kazi ya kuwatumikia wananchi.
Sambamba na hiyo, CCM imewaonya wabunge kuanza kujiengua ili kulinda heshima zao ndani na nje ya Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alitoa agizo hilo juzi wakati akizungumza na wakazi wa Helendeke katika Mji Mdogo wa Namanga...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kinana kukutana na wabunge CCM

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema anakusudia kukutana na wabunge wote wa chama hicho, ili kupata ufumbuzi wa malalamiko ya wafanyabiashara nchini kuhusu mashine za kieletroniki (EFDs) za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

11 years ago

Habarileo

Kinana awapa rungu wabunge CCM

KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana amewapa rungu wabunge wa chama hicho, kwa kutaka wahakikishe hawapitishi kila kitu, hasa sheria zinazowasilishwa bungeni na mawaziri, wakibaini hazina maslahi kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dovutwa awavaa CCM

MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmin Dovutwa amesema mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwahoji wanachama wake walioanza mbio za urais 2015 unatia shaka. Dovutwa alitoa kauli hiyo juzi...

 

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

9 years ago

IPPmedia

Kinana to lead CCM top guns as CCM unveils winning team


Kinana to lead CCM top guns as CCM unveils winning team
IPPmedia
Party's Publicity and Ideology Secretary, Nape Nnauye made the announcement when addressing journalists in Dar es Salaam on Tuesday. He said the team will be led by party's secretary general, Abdulrahaman Kinana with his deputies from the Tanzania ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT SHEIN NA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE WAWASILI PEMBA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimpokea  Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wajilipua

Wajumbe watatu wa Bunge la Katiba ambao ni wabunge wa CCM wametofautiana na msimamo wa chama chao kwa kuunga mkono kura ya siri itumike kuamua ibara za Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge CCM wamvaa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani