Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana awapa rungu wabunge CCM

KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana amewapa rungu wabunge wa chama hicho, kwa kutaka wahakikishe hawapitishi kila kitu, hasa sheria zinazowasilishwa bungeni na mawaziri, wakibaini hazina maslahi kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana awavaa wabunge CCM



Awataka wasisubiri kuaibishwa, wajipimeLeizer aibua mapya, kubwaga manyanga
NA WAANDISHI WETU, LONGIDO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wabunge wake kujipima kama wanatosha kabla ya kuingia tena kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kazi ya kuwatumikia wananchi.
Sambamba na hiyo, CCM imewaonya wabunge kuanza kujiengua ili kulinda heshima zao ndani na nje ya Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alitoa agizo hilo juzi wakati akizungumza na wakazi wa Helendeke katika Mji Mdogo wa Namanga...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana kukutana na wabunge CCM

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema anakusudia kukutana na wabunge wote wa chama hicho, ili kupata ufumbuzi wa malalamiko ya wafanyabiashara nchini kuhusu mashine za kieletroniki (EFDs) za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

10 years ago

Habarileo

Spika awapa somo wabunge

Spika wa EALA, Daniel KidegaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.

 

11 years ago

Habarileo

RC awapa somo wabunge wa Dar

WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein awapa somo wabunge wa Ireland

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewaelezea wabunge wa Bunge la Ireland mafanikio yaliyopatikana katika kuimarisha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yenye muundo wa Umoja wa Kitaifa huku viongozi hao wakiahidi nchi yao kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Maina awapa somo wabunge

WABUNGE wameshauriwa kuisoma na kuielewa Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kabla ya kwenda katika Bunge la Katiba ili kuepuka kuchangia mambo tofauti na yaliyomo kwenye rasimu hiyo. Ushauri huo...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM inaogopa nini kutumia rungu lake?

>Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimo katika kibarua cha kuwahoji makada wake wanaotajwa au kuonyesha dalili za kugombea urais.

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour apewa rungu kuing’oa CCM mwakani

Siku chache baada ya kujiunga na CUF, Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid (46), ameteuliwa kuwa mkuu wa mikakati wa kufanikisha kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi(CCM) kupitia Uchaguzi Mkuu mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani