Prof. Maina awapa somo wabunge
WABUNGE wameshauriwa kuisoma na kuielewa Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kabla ya kwenda katika Bunge la Katiba ili kuepuka kuchangia mambo tofauti na yaliyomo kwenye rasimu hiyo. Ushauri huo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-iRd4stCmF3U/VE5Z0IHVDjI/AAAAAAAABtc/A6fEjxmR1i4/s72-c/DSC_0129.jpg)
Prof. Mwandosya awapa somo viongozi wa dini
Na Rhoda Ezekiel, Kigoma
MAASKOFU na viongozi wengine wa dini wametakiwa kusoma na kuelewa kipengele kinachohusu haki na uhuru wa kuabudu katika Katiba Inayopendekezwa.
Kufanya hivyo kutawawezesha kuwafahamisha waumini wao haki na uhuru huo kama inavyopendekezwa katika Katiba hiyo pasipo kuingiliwa na mtu yeyote.
![](http://1.bp.blogspot.com/-iRd4stCmF3U/VE5Z0IHVDjI/AAAAAAAABtc/A6fEjxmR1i4/s1600/DSC_0129.jpg)
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, katika sherehe ya kumsimika askofu wa nne wa Jimbo la Kigoma, Askofu Joseph Mlolwa.
Alisema katika...
10 years ago
Habarileo12 Feb
Spika awapa somo wabunge
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.
11 years ago
Habarileo13 May
RC awapa somo wabunge wa Dar
WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Dk Shein awapa somo wabunge wa Ireland
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Prof. Baregu atoa somo kwa wabunge
RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kuwashauri wabunge kuboresha rasimu ya pili ya Katiba inayokwenda kujadiliwa hivi karibuni katika Bunge la Katiba, mjini Dodoma badala ya kuijadili kwa masilahi ya vyama vyao....
9 years ago
Vijimambo29 Oct
Prof. Maina: Ni hasara kwa nchi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Petre-29OCT2015.jpg)
Alisema kilichofanywa na Zec kimeteteresha imani ya wananchi kwa tume hiyo kwani Mwenyekiti wake alipaswa kuwachukulia hatua mara moja makamishna waliokiuka sheria na kanuni siku ya kupiga kura.
“Zec ilitakiwa iwe na uwezo wa kukamata watu waliovunja sheria na...
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Dk. Lyamuya awapa somo wanahabari
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujua maadili ya utumishi wa umma na sera za afya, ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya jamii na sekta hiyo. Wito huo ulitolewa...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Msechu awapa somo Wakinga
WENYEJI wa Makete mkoani Njombe wanaoishi sehemu mbalimbali nchini, wamekumbushwa wajibu waliyonao katika kuiendeleza Wilaya hiyo ili ikue kiuchumi. Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba...