Prof. Mwandosya awapa somo viongozi wa dini
![](http://1.bp.blogspot.com/-iRd4stCmF3U/VE5Z0IHVDjI/AAAAAAAABtc/A6fEjxmR1i4/s72-c/DSC_0129.jpg)
Na Rhoda Ezekiel, Kigoma
MAASKOFU na viongozi wengine wa dini wametakiwa kusoma na kuelewa kipengele kinachohusu haki na uhuru wa kuabudu katika Katiba Inayopendekezwa.
Kufanya hivyo kutawawezesha kuwafahamisha waumini wao haki na uhuru huo kama inavyopendekezwa katika Katiba hiyo pasipo kuingiliwa na mtu yeyote.
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, katika sherehe ya kumsimika askofu wa nne wa Jimbo la Kigoma, Askofu Joseph Mlolwa.
Alisema katika...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XQNHuvzYVUY/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Prof. Maina awapa somo wabunge
WABUNGE wameshauriwa kuisoma na kuielewa Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kabla ya kwenda katika Bunge la Katiba ili kuepuka kuchangia mambo tofauti na yaliyomo kwenye rasimu hiyo. Ushauri huo...
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Sitta awapa somo Viongozi wanaojiita UKAWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi wanaojiita UKAWA kwa taarifa yao ya kutaka kumfikisha Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kwa kuendeleza mchakato huo wa Katiba.
Kauli hiyo imetolewa leo 12 Septemba, 2014 mjini Dodoma na Mhe. Sitta kufuatia baadhi ya viongozi hao, kudai kuwa watampeleka katika mahakama hiyo.
Mhe. Sitta ameeleza...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3zQUIvKqXBA/U81MDmr8GOI/AAAAAAAF4cE/Oh0W3Qxo1dM/s72-c/unnamed+(53).jpg)
CHIKAWE AWAPA SOMO VIONGOZI WA CCM NACHINGWEA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3zQUIvKqXBA/U81MDmr8GOI/AAAAAAAF4cE/Oh0W3Qxo1dM/s1600/unnamed+(53).jpg)
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Pinda awapa somo viongozi wa Mbeya kurudisha heshima ya elimu
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Viongozi wa dini waipa somo serikali
SERIKALI imetakiwa kuwapa kipaumbele watu waliopo katika maeneo kunapogundulika rasilimali ili waweze kunufaika na rasilimali hizo. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Sheikh Abubakar Zuberi kwa niaba ya Baraza...
10 years ago
Habarileo29 Jun
Rais Kikwete awapa wosia wa amani viongozi wa dini
RAIS Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa dini nchini kuendeleza hali ya amani na utulivu uliopo nchini kwa kuhakikisha kuwa nchi inabaki na amani, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, 2015.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QGAL97PIhPA/VLpX0nISEgI/AAAAAAAG9-w/giB02-NwJuY/s72-c/DSC_0801.jpg)
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
11 years ago
Habarileo08 Apr
Mwandosya ataka somo la mauaji ya kimbari shuleni
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya amesema Tanzania haina budi kuanzisha somo la mauaji ya kimbari kuanzia shule za awali, msingi hadi vyuo vikuu. Alisema kitendo hicho kitasaidia kuelimisha kizazi kijacho madhara ya yaliyotokea kwa majirani zetu na namna ya kuepukana nayo.